Sielewi kwanini kila binti mtaani ananiamkia shikamoo

Sielewi kwanini kila binti mtaani ananiamkia shikamoo

Heshima yako mkuu pokea tu salamu hizo wengine hata hizo tunazitaka ila hatuzipati. Unanyota ya kupewa salamu hivyo vumilia tu ni vitu vya kawaida
 
We mwambie marahaba mrembo then angalia ataitikiaje!
 
Sio kwamba wanaweka ukuta but wanakuheshimu
Facts; kuna braza ana miaka 32 ameoa mke wake mwenye miaka 26, huyo mwanamke anampa shikamoo mume wake kila asubuhi, so suala sio uzee wala nn.
 
Bora ww, kuliko mzee kusalimiwa "mambo" na kibinti chake
 
Watu tupo tofauti sana ??, Kuna wa dada wengine ukikutana nao wanaomba shikamoo eti amkia wewe na wako serious hasaa
 
Huwa wanambinu nyingi kufikisha ujumbe kwa wawapendao akikuamkia itikia tuu ,, na jaribu kusoma ishara zaooo

Ushapendwa tialee
 
kazi rahisi sana kumng'oa binti anaekuamkia shikamoo.
 
Hicho kitumbo ulichonacho,papaa mukulukulu unayopiga na hizo swaga za kiualimu wa upe ndio sababu unaonekana zilipendwa...hapo si ajabu una bonge la panki kichwani halafu mfuko wa shati una kalamu kama nne hivi na muda wote upo siriaz tu hakuna tabasamu hata la kukopa!!!.oooops nimesahau 'shikamoo bro'!.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom