CLES B
JF-Expert Member
- Jul 7, 2013
- 733
- 458
Nawapa tahadhali kwa walio na mipango ya kufanya safari zao kwenda au kutoka mkoa wa mwanza hili gari ni majanga.Tumetoka ubungo saa 12 asubuhi mpaka sasa saa 10:30 jioni bado tuko Dodoma. Gari haliishi kutengenezwa.
Mwendo linaotembea ni wa miguu.Yes kuna vibao vya 30/50 linavitii ila utekelezaji wake unatetewa na ubovu wa gari lenyewe.Ni Happy Nation Express .aka.king'amuzi
Mwendo linaotembea ni wa miguu.Yes kuna vibao vya 30/50 linavitii ila utekelezaji wake unatetewa na ubovu wa gari lenyewe.Ni Happy Nation Express .aka.king'amuzi
Attachments
Last edited: