Mkuu hauko sahihi hata kidogo, div three wengi sana wanachaguliwa.
Hata mie nilikuwa na dvn three ya 18 miaka kadhaa iliyopita , lakini nilichaguliwa kwenda Government school
Nilikuwa na B nne c mbili d moja na f moja.
Hakika haya mambo na nyoka hawa wapo hizi ni taarifa ya kweli kabisa.
Mfano mwakajuzi nilianika mpunga kijiji fulani kinaitwa mambo kipo mbarali Jirani na kijiji cha igurusi.
Jioni naenda kutoa/kuanua mpunga nilikutana na kitu cha ajabu ambacho sijawahi kukiona katika maisha yangu
Nilikutana na...
Hilo uko sahihi sana, kuna vitabu vimechapwa na Oxford press, vyenye waandishi mbalimbali na ni vitabu tofauti ni vitabu vya hivyo hovyo sana.
Havifai kutumika kufundishia wala kujifunzia lakini ndivyo vilivyojaa mashuleni.
Hakuna kitabu kilichochapwa na Oxford press hakina makosa,vyote vina...
Uhamisho umesimamishwa hadi wakurugenzi wameambiwa wasipitishe barua za watumishi,
Sasa haya matangazo ina maana hamjasikia? Labda kwa mipango ya baadae wakitangaza tena
Wapi umeambiwa wabunge wanachaguliwa KWA kigezo cha Elimu?
Hata kama hajahitimu darasa la Saba lakini anajua kusoma na kuandika anaruhusiwa kuwa mbunge.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.