Kwa wanafunzi waliopata div 3 ya point 22 hadi 25

Amna kwa aliye pata Three anaweza kuchaguliwa lakini kunakitu bahati ndio inamfanya MTU wa three kuchaguliwa
 
Kwa uzoefu wangu wale wa division 3, huwa wanafika mbali wengine huwa wanajakuaa ma proffessor wazuri sana. Ni viongozi wazuri nk,
Ule wasiwasi wa kushindwa kabisa ndio unawasaidia.
President Bush " for those who get distinguishing and houners well done, but division 3 still can be president of US"
 
Naomba kuuliza kuwa hawa wanafunzi wataenda kidato cha tano au ndo wata jiunga na chuo moja kwa moja kusoma diploma??

Naomba msaada wenu tafadhali
Kidato cha tano wataenda wasiwe na hofu ila wakifika huko wakaze sio walemae mwisho wa siku waangukie kwenye 3 tena au 4 au zero kabisa,,,,,,,,,,

Kibongo bongo elimu ipo advance tu chuoni na o lev ni mteremko tu.
 
Kinachoangaliwa zaidi kwenye selection baada ya division ni combination km imebalance au la! Km mtu ana dvn 3 na combi imebalance, na nafasi ipo (kutokana na ufaulu was mwaka huo) anachaguliwa. Ila km combi haijabalance akatafute chuo mapema akasome certificate maana cdhani km ualimu watamchukua direct entry
 
correct
 
Amna kwa aliye pata Three anaweza kuchaguliwa lakini kunakitu bahati ndio inamfanya MTU wa three kuchaguliwa
Mkuu hauko sahihi hata kidogo, div three wengi sana wanachaguliwa.
Hata mie nilikuwa na dvn three ya 18 miaka kadhaa iliyopita , lakini nilichaguliwa kwenda Government school
Nilikuwa na B nne c mbili d moja na f moja.
 
Back
Top Bottom