Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,614
Hata maombi nchini kote yalifanyika ghafla na yakasitishwa ghafla. Tujifunzeni kuomba kila wakati!Jamani naomba tuangalie hili swala la mvua kunyesha na kutoweka ghafla nchini kote.
Wiki moja na nusu iliyopita mvua ilipiga sana karibu nchi nzima.Sasahv imetoweka tena. joto kali, mazao yanakauka.
Haya mabadiliko ya tabia ya nchi n hatari