Lipi jiji zuri kati ya Mbeya na Tanga?

Ukiongelea uzinz ,sjui uchafu mala ushoga kuwa umejaa Tanga bas itakua ujatembea ndugu,hili ni swala la kawaida miji yote ya starehe lazma ukutane na Mambo km aya,hata hata ukienda miji ya mbele ya starehe hayakwepeki lazma ukutane nayo.Bakin kwenye point ya msingi kua Tanga pazr kulko Mbeya .
 
mnaizungumzia tanga hiihii ambayo maduka yanafunguliwa saa nne asubuhi na kufungwa saa moja jioni?
 
uzuri wa nini mkuu? kwa majengo Tanga ni kuzuri na kumepangika zaidi. ila kwa tabia, mbeya kuna waabudu Mungu sana wakati Tanga kuna mashoga na wanawake wanaotoa nyuma wengi kuliko mbeya. uchafu mwingi umejaa Tanga unaohusiana na uzinzi wa sodoma na gomora.
Tupe ushahidi juu ya hayo unayoyasema
 
8e8df194289bc641fc0e47505754bc0d.jpg
51117df06fdd0ce4df3e17a5b8c5ebe2.jpg
 
Hivi Iringa na Dodoma vipi ipi iko juu?
Kulinganisha simba na chui? Imekaaje hivyo,Mbeya ni jiji na Tanga ni manispaa,bado hapo hujaona tafauti wewe muliza swali. Kitu gani kunaupa mji kuwa jiji? Sifa moja wapo ni mpangilio na huduma za kijamii. Hill tu linakupa mwanga wa tofauti ya Mbeya jiji na Tanga Manispaa. Karibu
 
Uzuri katika nini?
Tanga ni mji WA zamani sana lakini Mbeya ndio inakuwa sasa, kuna vitu tanga IPO juu zaidi lakini pia kuna vitu Mbeya IPO juu sana .
 
Kulinganisha simba na chui? Imekaaje hivyo,Mbeya ni jiji na Tanga ni manispaa,bado hapo hujaona tafauti wewe muliza swali. Kitu gani kunaupa mji kuwa jiji? Sifa moja wapo ni mpangilio na huduma za kijamii. Hill tu linakupa mwanga wa tofauti ya Mbeya jiji na Tanga Manispaa. Karibu
Tanga manispaa. Unamiaka mingapi ndugu?
 
Back
Top Bottom