Recent content by sheen

  1. S

    Remove sex from a relationship, women have nothing to offer. Is it true?'

    We endelea kutambua hizo theory tu maisha ya mapenzi ni fumbo huwez kuwa na uhakika na yeyote hata kama yupo vipi, tunaishi kwenye mahusiano kwa Imani tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    Ni Tanzania pekee Mkuu wa nchi anapokwenda kusali Press huandaliwa

    Ni Tanzania pekee? Una uhakika? Acha kudanganya watu. Kenya mbona wanafanya af unasema Tanzania pekee nadhan tatizo lako ni magufuli na sio anachokifanya. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. S

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    9:30 Sent using Jamii Forums mobile app
  4. S

    Wale Mnaotuponda Watumiaji wa Tecno....

    Techno imesajiliwa kwa ajili ya soko la Africa tu. Haina viwango vya kuuzwa ulaya na America Sent using Jamii Forums mobile app
  5. S

    Mwanadada Witness naona kaanza kufata nyendo za Gigy na Amber Lulu

    Kumbukumbu zangu zinanionyesha kuwa huyu alibadili dini alipoolewa na mwanaume flani mwaka fulani na akasema kuwa anataka kuenenda kadili ya maadil ya Imani hiyo yake mpya sasa sielewi ndio maadil yenyewe hayo au kasharudia Imani ya zamani. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. S

    Askofu Dallu: Marufuku shule za kanisa katoliki wanafunzi kuendelea na masomo baada ya kupata mimba

    Nani asiye na utamaduni wa kigeni? Unajua ukikubali dini unakubal utamaduni pia? So Jifunze kufikiri vizuri zaidi kabla hujaandika, sema hivi kila dini inakuja na utamaduni wake utaeleweka.
  7. S

    Askofu Dallu: Marufuku shule za kanisa katoliki wanafunzi kuendelea na masomo baada ya kupata mimba

    Nani alikwambia ukiwa mkristu lazima uache tamaduni zako? Ukristo sio utumwa hakuna anaelazimishwa kuacha tamaduni isipokuwa zile zisizoendana na ukristo. Jifunze kufikiri kiundani juu ya mambo.
  8. S

    Niijuavyo Freemasonry

    Prussia na ujeruman kumbe zilikuwa nchi mbili tofauti. Nimejifunza jambo jipya.
  9. S

    Prove me wrong;Ustaraabu ulianzia middle East

    Nafikiri umechukua maana tofauti ya neno ustaarabu,ni neno pana kiasi kuna maana nyingi pia, ustaarabu au civilization ni mfumo wa kiutamaduni wa maisha ya mwanadam ambapo watu waliweza kugundua njia tofauti tofauti za kimaendeleo kijamii, kiteknolojia, kisiasa na kiuchumi, mfano ufuaji chuma...
  10. S

    Prove me wrong;Ustaraabu ulianzia middle East

    I prove u wrong: ustaarabu kwa kiingereza huitwa civilization, ukisoma historia mbali mbali utakuta kila taifa au bala lina ustaarabu wake.
Back
Top Bottom