Recent content by shayookoko

  1. shayookoko

    JamiiForums Tanzania TANGA: Gari la Magazeti lapata ajali

    Hivi tatizo n printer au ni Nini, kwa namba technology ilivyo kuwa, haiwezekani gazeti likatsysrishwa dar, likaprintiwa mwanza,?
  2. shayookoko

    JamiiForums Tanzania Songea: Achoma gari baada ya kumfumania mke wake

    Injini ipo, hizi gari injini yake iko chini sana, hapo juu eneo kubwa liko wazi, vox na Noah new model.
  3. shayookoko

    JamiiForums Tanzania Suala la wafiwa kuandaa chakula kwa ajili ya wanaokuja kuzika ni utaratibu wa kupigwa vita

    Inaelekea wewe sio mhudhuriaji wa misiba, na unamgonjwa ndani kila ukimwangaliiiia unaona kabisa hapa shughuli imefika ukingoni, Sasa huna kitu ndani na huna Cha kupika Wala wachangaji huna.
  4. shayookoko

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Polisi waua majambazi wanne na kufanikiwa kukamata silaha mbalimbali

    Kwani huyo jambazi ni Nani kwako? Kwani huyo jambazi ni Nani kwako?
  5. shayookoko

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakamani: Sikubakwa na mshtakiwa nilitaka mwenyewe maana ni mpenzi wangu

    Mtoto wa kike miaka 17 sio mtoto, huyo ni mke.
  6. shayookoko

    JamiiForums Tanzania Kwako Mzee Yusuph

    Bila pesa mjini pachungu, kuimba ndio kazi yake, Sasa ataishi vipi kwa kusoma kitabu kitakatifu tu?
  7. shayookoko

    JamiiForums Tanzania Je, mwanao anadhurika na diapers za Moflix?

    Tahadhari gani, umekalia kuchafua biashara za watu tu, huyo mtoto wako mmoja ndie aharibu brand za watu? Et Huggies, umeajiriwa huko?
  8. shayookoko

    JamiiForums Tanzania TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

    Sikuwahi kusikia mzee anaumwa, kilichomsibu ni Nini?
  9. shayookoko

    JamiiForums Tanzania NMB acheni uzembe, mnachefua sana

    Sophia sio jina, ni neno mbadala la neno mteja! Kiswahili kimekuwa. Tizama kwenye kamusi.
  10. shayookoko

    JamiiForums Tanzania Mnaotumia mikono ya kulia mjitafakari sana, nimegundua kitu...

    Akiwa left, kuchamba anatumia right hand![emoji16][emoji16], Cha kufanya hakikisha anavaa gloves! Na nyumbani vipi, wife anatumia mkono gani? Au hakuchongei matunda, kupaka siagi, nk, au nnya yake haina shida.
  11. shayookoko

    JamiiForums Tanzania Vijue vyakula hatari kwa kupunguza nguvu za kiume

    Flax ni mbegu gani?
  12. shayookoko

    JamiiForums Tanzania Msaada: Maeneo mazuri ya kuishi Dar es Salaam

    Kijitonyama!
  13. shayookoko

    JamiiForums Tanzania Wiki 2 za kupigania Uhai wangu dhidi ya Covid-19

    Inawezekana kabisa, hata huyu ndugu yetu angejua tokea mwanzo anasumbuliwa na Nini, Basi angepatwa na mshutuko na huenda angepoteza maisha.
  14. shayookoko

    JamiiForums Tanzania Je, mwanao anadhurika na diapers za Moflix?

    Sasa hapo molfix inaingiaje, mpeleke mtoto hospital, acha kuaribu biashara ya watu.
  15. shayookoko

    JamiiForums Tanzania Bomu la Petrol laja. Serikali msiseme hamjaambiwa

    Ni kweli mkuu, nimepata pale gbp mbuyuni Kama unaelekea tegeta, nimekuta madumu zaidi ya 40, nikajiuliza kulikoni?
Back
Top Bottom