Mimi nilidhani Evodia yule wa Futuhi ya Star TV.Dah! Evodiaaa! Nimemkumbuka demu wangu wa kihaya alikuwa anaitwa evodia
Sijajua walichemka wapi hawa jamaa.Mm wameniita Zainabu
Na vipi waloitwa Philimon, Said,evodia, Josephat,Sophia sio jina, ni neno mbadala la neno mteja! Kiswahili kimekuwa. Tizama kwenye kamusi.
Me nimeitwa Heavenlight hahahahh ila usiku walituma sms ya kuomba radhi kwa mkanganyo huomi wameniita evodia hawa mbwa
Weka simu chaji imekaribia kuzima