Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,762
- 5,276
Hizi pampers aka diapers ni za bei poa sana lkn naona mtoto anapata matatizo ya kubabuka ngozi ya chini ya miguu na viganja vya mikono.
Je, kuna wengine wamepatwa na maswahiba kama haya kwa wanao?
Je, kuna wengine wamepatwa na maswahiba kama haya kwa wanao?