TANGA: Gari la Magazeti lapata ajali

TANGA: Gari la Magazeti lapata ajali

Pole mno kwa wote walioguswa na ajali hii, ninajuuliza dunia ya sasa faida ipo wapi kwa wasafirishaji wa magazeti haya na wachapishaji?let's say unapeleka nakala 10,000 za magazeti kanda ya kati, mbona gharama ni kubwa mno kuliko faida na huna uhakika kama nakala zote zitanunuliwa, ni wakati wa kuja na ufumbuzi mwingine hapa.
Kwa hio wewe yawezekana umefanya CBA-Cost Benefit Analysis kuliko hao wenye Co. Ya magazeti sio?
 
Jia hsina shida bali waendeshaji wa hayo magari ndo wanakua na mwendo mkali kuliko uwezo wakuhimili chombo na barabara.Niliwahi kupanda moja nikaona kabisa dereva anakimbizana na muda uku control ndogo.
Ili ufike ndani ya muda tajwa ndiko wanakokanyagia kibati ikitokea la kutokea ndio matokeo kama hayo
 
Bado. Awajaipata ingine- ilikuwa ya mtu binafsi alikuwa anaikodisha kwa makampuni ya magazeti. kuna aja Serikali ikaingilia kati hili maana kila Mara hizi gari zinapoteza watu 😭 Mfano makampuni ya magazeti yakapewa mkopo wakanunua ata Cessina ya 300 millions ikawa inasambaza magazeti toka saa nne usiku mpaka ikifika alfajiri inarudi Dar
Hao wenye magazeti ukiunganisha na ya udaku toka kipindi hicho hawajapata mil300 au ndio mazoea ya biashara
 
Kwa mwendo wao kupona inakuwaga ngumu

Ova
 
Kwa hio wewe yawezekana umefanya CBA-Cost Benefit Analysis kuliko hao wenye Co. Ya magazeti sio?
Stupid comment from you,hii ni debate imeletwa hapa ili tujadiliane, sio lazima tukubaliane kila kitu, na on top of that kuna projects nyingi mno ambazo zimefanyiwa uhakiki na still zimeshindwa, sielewi magazeti 10,000 ya @shs.1000, yakimbizwe kwenda Kanda ya nyanda za juu kwa gharama kubwa na yalete profit 📈
 
Stupid comment from you,hii ni debate imeletwa hapa ili tujadiliane, sio lazima tukubaliane kila kitu, na on top of that kuna projects nyingi mno ambazo zimefanyiwa uhakiki na still zimeshindwa, sielewi magazeti 10,000 ya @shs.1000, yakimbizwe kwenda Kanda ya nyanda za juu kwa gharama kubwa na yalete profit 📈
Ushameza dawa zako za majira?Zingatia Muda.
 
Gari aina ya Toyota Hiace lililokuwa likisafirisha magazeti toka Dar es Salaam kwenda Arusha limepata ajali usiku wa kuamkia Leo eneo Mkata mkoani Tanga. Dereva wa gari hilo na mtu mwingine wanasadikika kupoteza maisha.

View attachment 2348734

Hizi mashine dah!
Hivi tatizo n printer au ni Nini, kwa namba technology ilivyo kuwa, haiwezekani gazeti likatsysrishwa dar, likaprintiwa mwanza,?
 
Hivi tatizo n printer au ni Nini, kwa namba technology ilivyo kuwa, haiwezekani gazeti likatsysrishwa dar, likaprintiwa mwanza,?
Hii pia ni alternative nyingine- inafungwa Newspaper Printer pale Mwanza Kila Mwenye gazeti lake anatuma softcopy ya Gazeti la Siku husika kwa internet kisha yanachapwa na kusambazwa from Mwanza to Bukoba,Shinyanga,Musoma etc. kwa sasa printers zote unaweza link na Internet na kuwezesha hili
 

Attachments

  • F1E76494-004D-4A1A-A090-F89F4A1D53E1.jpeg
    F1E76494-004D-4A1A-A090-F89F4A1D53E1.jpeg
    38.9 KB · Views: 12
  • 80213B7C-B505-444A-B7EB-7825D229B5A6.jpeg
    80213B7C-B505-444A-B7EB-7825D229B5A6.jpeg
    20.4 KB · Views: 11
Ifike hatua sasa kampuni za magazeti ama kwa kujitegemea au kwa kushirikiana wao kwa wao ziweke printing machine kwenye kila mkoa au wilaya ili uchapishaji ufanyike huko huko na usambazaji uanzie hapo.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Makampuni kadhaa ya magazeti yalishajaribu hii kitu, yalikua yanachapia kwa Diallo Mwz(Sahara Media) nadhani haikua na faida kwao wakaachana na huo mpango.

Biashara sio kitu chepesi hata kidogo,Tena inapokuja kwny cost cutting measures.
 
Back
Top Bottom