Bomu la Petrol laja. Serikali msiseme hamjaambiwa

Bomu la Petrol laja. Serikali msiseme hamjaambiwa

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,447
Reaction score
10,785
Maeneo kadhaa Petrol imeanza kuadimika. Vituo vichache vinashuhudia watu wakinunua mafuta kwenye madumu ili kuyahifadhi majumbani. Hii imetokea baada ya bei kupungua mpaka 1500s.

Serikali mfahamu kuwa wananchi wanaonunua mafuta kwa wingi wanayahifadhi majumbani bila kufuata usalama. Yakilipuka watu wa zimamoto mjiandae kwa lawama.

Petrol is Flammable, wajasiriamali kuweni makini. Msihifadhi karibu na familia zenu, mtawakaanga!

Case study Morogoro, Msamvu!
 
inabidi watu wa usalama wazuie wateja kununua petrol kwenye madumu.
itasaidia sana.
 
Ni kweli mkuu, nimepata pale gbp mbuyuni Kama unaelekea tegeta, nimekuta madumu zaidi ya 40, nikajiuliza kulikoni?
 
Wengine tunanunua kwenye vidumu kama kiburudisho kisicho maalum kuna muda majani hayapatikani kwa urahisi
 
Serikali inajua petrol iliyopo ni kiasi gani na inatumika muda gani
 
Kuna wadau watakuja kukuambia huwezi kufanikiwa maishani bila ku-take risk.
 
Acheni uoga usalama upo hao ni wale wanauza ya kidebe kwa bodaboda
 
Hivi si kuna kipindi walisema ni marufuku kununua mafuta kwenye madumu...iliishia wapi?!
 
Back
Top Bottom