Songea: Achoma gari baada ya kumfumania mke wake

Hivi kufanya mapenzi kwenye gari ni kosa kisheria..?
 
MKE WA MTU NI SUMU : Anaandika Mwanahabari Albano Midelo katika Facebook yake.

UBAVUNI mwa gari hili yameandikwa maneno haya Mke wa Mtu ni sumu. Inadaiwa Mwenye gari ambaye ni fundi wa magari na hata gari hili linadaiwa lilikuwa la mteja wake ,inadaiwa Fundi huyo alikuwa anachepuka na mke wa mtu,Mwenye mke hivi karibuni alitega mtego na kudaiwa kufanikiwa kumkuta na mke wake wakiwa ndani ya gari hili katika eneo la Peramiho wilayani Songea mkoani Ruvuma.

Inadaiwa Baada ya kufumwa wote wawili walikimbia na kuliacha gari ndipo mwenye mke aliamua kuliteketeza gari hili kama unavyolioona.Mashuhuda wa tukio hilo wamesema tukio limetokea siku chache zilizopita. Tukio hili bado halijathibitishwa na RPC.

My take: Siku nyingine ukibambwa wanakukata kidudu acha kula wake za watu.

View attachment 604570View attachment 604571View attachment 604572View attachment 604573
Ningekuwa mimi ningemshitaki mwehu huyu kwani nikienda mahakamani nachukua pointi 3 bila kucheza mechi
 
Alitumia mafuta gani kuichoma gari maana hadi engine imeyeyuka yote, je mchomaji ana case hapo au laah
Injini ipo, hizi gari injini yake iko chini sana, hapo juu eneo kubwa liko wazi, vox na Noah new model.
 
mwenye gari ni fundi wa magari na inadaiwa gari hili lilikuwa la mteja wake. sijakuelewa hapo
Wewe KILAZA, unashindwa kuelewa kitu gani hapo? CCM kila jambo ni slow learner tu.
 
MKE WA MTU NI SUMU : Anaandika Mwanahabari Albano Midelo katika Facebook yake.

UBAVUNI mwa gari hili yameandikwa maneno haya Mke wa Mtu ni sumu. Inadaiwa Mwenye gari ambaye ni fundi wa magari na hata gari hili linadaiwa lilikuwa la mteja wake ,inadaiwa Fundi huyo alikuwa anachepuka na mke wa mtu,Mwenye mke hivi karibuni alitega mtego na kudaiwa kufanikiwa kumkuta na mke wake wakiwa ndani ya gari hili katika eneo la Peramiho wilayani Songea mkoani Ruvuma.

Inadaiwa Baada ya kufumwa wote wawili walikimbia na kuliacha gari ndipo mwenye mke aliamua kuliteketeza gari hili kama unavyolioona.Mashuhuda wa tukio hilo wamesema tukio limetokea siku chache zilizopita. Tukio hili bado halijathibitishwa na RPC.

My take: Siku nyingine ukibambwa wanakukata kidudu acha kula wake za watu.

View attachment 604570View attachment 604571View attachment 604572View attachment 604573
Kufumaniwa na mke wa mtu sio kosa kisheria. Kosa ni kumdhuru mgoni wako; unaweza kwenda jela maisha au ukanyongwa endapo utamtoa uhai. Hiyo ndio sheria. The best ni kuachana na huyo mke ukashika hamsini zako waendelee na yao! Ha ha ha ngumu kumesa ila ndio utaratibu.
 
Kumbe kutembea na mke wa mtu sio kosa kisheria[emoji15]
 
MKE WA MTU NI SUMU : Anaandika Mwanahabari Albano Midelo katika Facebook yake.

UBAVUNI mwa gari hili yameandikwa maneno haya Mke wa Mtu ni sumu. Inadaiwa Mwenye gari ambaye ni fundi wa magari na hata gari hili linadaiwa lilikuwa la mteja wake ,inadaiwa Fundi huyo alikuwa anachepuka na mke wa mtu,Mwenye mke hivi karibuni alitega mtego na kudaiwa kufanikiwa kumkuta na mke wake wakiwa ndani ya gari hili katika eneo la Peramiho wilayani Songea mkoani Ruvuma.

Inadaiwa Baada ya kufumwa wote wawili walikimbia na kuliacha gari ndipo mwenye mke aliamua kuliteketeza gari hili kama unavyolioona.Mashuhuda wa tukio hilo wamesema tukio limetokea siku chache zilizopita. Tukio hili bado halijathibitishwa na RPC.

My take: Siku nyingine ukibambwa wanakukata kidudu acha kula wake za watu.

View attachment 604570View attachment 604571View attachment 604572View attachment 604573
Atafungwa kwa kuchoma gari ya mtu na kumwacha fundi akiendelea kubanjuka na mkewe.
 
Jamaa nae boys, high way hapa walimtorokaje kwa mbio za miguu au walidandia boda au walikimbilia vichakani?🤔
Hayaa fundi magari kapambane na mwenye gari sasa 😆
Mke wa mtu kweli sumu🙌
 
Kumbe kutembea na mke wa mtu sio kosa kisheria[emoji15]
... Sio kosa as long as ameridhia. Ni sawa na kutembea na mwanamke mwingine yeyote ambaye sio mwanafunzi au ambaye umri unaruhusu kisheria. Hilo neno RIDHIA ni muhimu sana na ndio kinga yako.
 
Atafungwa kwa kuchoma gari ya mtu na kumwacha fundi akiendelea kubanjuka na mkewe.
... uko sahihi; fundi hana kosa kutembea na mke wa huyo jamaa. Mazingira yanaonesha mwanamke alikuwa ameridhia "kumpa" fundi kitumbua.
 
Back
Top Bottom