Mnaotumia mikono ya kulia mjitafakari sana, nimegundua kitu...

wakiwa wanachonga matunda tunayonunua humo majiani au mahotelini; kisu wanashikia mkono wa kulia huku tunda lenyewe linalohitaji usafi wa kina wanashikia mkono wa kushoto (na ni haohao wanapenda sana kuuita mkono wa m*vi)!

wanaweza wakabanwa na haja kubwa wakati wanachonga hayo matunda, bbasi huenda kujisaidia na kuchamba kwa kutumia mkono wa kushoto (wengi wao hawana sabuni au hawatumii kabisa kwa kutoijua au kutokana na haraka ya kukimbilia wateja). wakishamaliza hurudi kuendelea kuchonga matunda hayo kwa kuyashika kwa mkono waliotoka kuchambia punde tu huku kisu wakiendelea kukishikia kwa mkono wa kulia. :mad::mad::mad:

sinunui tunda la kuchongwa mimi, vinginevyo basi nijiridhishe kuwa mchongaji ni left handed!

modes msifute huu uzi tujadili kidogo suala hili muhimu kwa afya zetu!!

Daaaah kwaiy kwa sababu ndogo kama iyo2 unataka watu waanze kuchonga matunda kwa mkono wa kushoto au?
 
Nyie mnaotumia mkono wa kushoto huwa mnachambia mkono upi?

Ndio maana wajumbe wamekukata kura za maoni...

Mleta uzi anataka kutuvuruga tu. Analeta habari za mkono wa kulia na kushoto tena kwenye matunda pekee anasahau mambo yote yanayohusu mikono kanuni ni ile ile.

Cha msingi ni kusisitiza usafi
 
wajumbe sio watu wazuri kabisa.

Huyu mtoa mada anatuvuruga tu.
 
Wakiwa wanachonga matunda tunayonunua humo majiani au mahotelini; kisu wanashikia mkono wa kulia huku tunda lenyewe linalohitaji usafi wa kina wanashikia mkono wa kushoto (na ni haohao wanapenda sana kuuita mkono wa m*vi)!

Wanaweza wakabanwa na haja kubwa wakati wanachonga hayo matunda, bbasi huenda kujisaidia na kuchamba kwa kutumia mkono wa kushoto (wengi wao hawana sabuni au hawatumii kabisa kwa kutoijua au kutokana na haraka ya kukimbilia wateja). wakishamaliza hurudi kuendelea kuchonga matunda hayo kwa kuyashika kwa mkono waliotoka kuchambia punde tu huku kisu wakiendelea kukishikia kwa mkono wa kulia. :mad::mad::mad:

Sinunui tunda la kuchongwa mimi, vinginevyo basi nijiridhishe kuwa mchongaji ni left handed!
Akiwa left, kuchamba anatumia right hand!, Cha kufanya hakikisha anavaa gloves! Na nyumbani vipi, wife anatumia mkono gani? Au hakuchongei matunda, kupaka siagi, nk, au nnya yake haina shida.
 
Write your reply...kila mkono una majukumu yake muhimu. Tafakari wakati wa kukojoa mwanaume huwa unafungua zipu na kutoa dushe kwa mkono upi? Ukishamaliza kukojoa unapokung'uta hilo dushe masalia ya mikojo huwa yanarukia mkono upi?
 
kwenye maisha ili uishi kwa Amani kuna baadhi ya vitu hutakiwi kuvifikiria sana.
Ishi kwa imani
 
subiri kwa dose package yako uandikiwe matunda 2 × 3, kwa hiari yako utakuja umtafute huyo mchonga matunda left handed
 
Wakiwa wanachonga matunda tunayonunua humo majiani au mahotelini; kisu wanashikia mkono wa kulia huku tunda lenyewe linalohitaji usafi wa kina wanashikia mkono wa kushoto (na ni haohao wanapenda sana kuuita mkono wa m*vi)!.

Wanaweza wakabanwa na haja kubwa wakati wanachonga hayo matunda, bbasi huenda kujisaidia na kuchamba kwa kutumia mkono wa kushoto (wengi wao hawana sabuni au hawatumii kabisa kwa kutoijua au kutokana na haraka ya kukimbilia wateja). wakishamaliza hurudi kuendelea kuchonga matunda hayo kwa kuyashika kwa mkono waliotoka kuchambia punde tu huku kisu wakiendelea kukishikia kwa mkono wa kulia. :mad::mad::mad:

Sinunui tunda la kuchongwa mimi, vinginevyo basi nijiridhishe kuwa mchongaji ni left handed!
Kiufupi watu wa Afya ya umma hawatimizi wajibu wao,wale watu wa matunda wanatakiwa wavae vifungashio ndio wamenye.
 
Back
Top Bottom