Dar es Salaam: Polisi waua majambazi wanne na kufanikiwa kukamata silaha mbalimbali

Kati ya hao wahalifu yule mwandishi wa ITV aliekatwa began keshapata wasiojulikana kwahiyo?
 
Uchunguzi ufanyike. Siwaamini polisi wa hii nchi. Iweje Nuru auawe na wakati alikuwa chini ya ulinzi,je mlimfungua pingu?
Tumezoea kusikia hizi taarifa lakini kuna raia wema wengi wanauawa na kuitwa majambazi yenye silaha.

Kwanini Nuru afe badala ya kuhakilisha anabaki hai kusaidia kukamata wengine? Nini kinafichwa?
Uchunguzi ufanyike.
 
Hakuna cha uchunguzi, polisi wanawafahamu akina Nuru ukimpleka mahakamani anakaa miezi minne rumande kesi inatupwa hakuna ushahidi anarudi mtaani kuwasumbua raia.
 
Siku zote polisi stori zao ni hiii moja , jambazi alipokaribia wenzake aanapiga kelele kushtua wenzake.then wanakufa wore.
Huoni kwamba majambazi wa siku hizi kwa kukosa akili na kurushiana risasi na polisi wanaifanya Nchi kuwa tulivu?
Amani imeyapakaa. Waache wapewe wanachostahili. Majambazi wamekatisha maisha ya watu wengi kwa Mali ndogo ndogo tu. Kwani wao tu ndio wana maisha? Wengine hawastahili?
Hongereni sana Jeshi la Polisi
 
2010 March nilivamiwa na majambazi usiku nikiwa nimelala, lilikuwa tukio la kutisha na bahati nzuri wakati huo nilikuwa peke yangu sijapata familia. Jirani aliokoa jahazi baada ya kumpiga risasi mmoja wao, alijaribu kukimbia lakini alishindwa kutokana na majeraha.

Hitimisho, naunga mkono kuuwawa kwa majambazi sehemu yoyote kwa namna yoyote na mtu yeyote wakati wowote.
 
Kwani huyo jambazi ni Nani kwako?
Sawa, point yangu ni kuwa walienda naye, na wao walikuwa wanarushiwa risasi kutoka na waliokuwa ndani, how comes waliyekuwa naye kwenye, say usafiri wao naye afe ikiwa wamejibizana na waliokuwa ndani?
Kwani huyo jambazi ni Nani kwako?
 
Sasa mbona Nuru naye wamemuua wakati ndie aliyewapeleka kuwaona wengine, maana yake walikuwa naye kwenye gari au alikuwa chini ya ulinzi wao
Alipoonesha hiyo nyumba alipiga kelele kuwatahadharisha wenzake!

Hii statement siiamini sana.

Haiwezekani karibia matukio ma5 niliyokwishasikia kwenye vyombo vya habari maeneo mbalimbali kwa watuhumiwa wanaoenda kuonesha wenzao wakawa na akili zinazofanana za kupiga 'nduru'!

Wao wangesema ivii: ' jambazi yeyote tunayemkamata ama zake ama zetu' lugha ya kikubwa hiyo tungeliwaelewa na wala tusingelibisha!

Huyo hakupiga kelele wala nini pale, alipokwisha onesha na wakajiridhisha, akageuzwa condom iliyokwishakutumika.

Ninashangaa watu kuendelea kutegemea kuendesha maisha yao kwa kudhuru maisha ya watu wengine huku inaeleweka kabisa kuwa wanapopatikana lazima 'wakamatwe haraka haraka'.
Hiyo ni 'operesheni code' wataisha na hakuna wa kuwahurumia.
 
2010 March nilivamiwa na majambazi usiku nikiwa nimelala, lilikuwa tukio la kutisha na bahati nzuri wakati huo nilikuwa peke yangu sijapata familia. Jirani aliokoa jahazi baada ya kumpiga risasi mmoja wao, alijaribu kukimbia lakini alishindwa kutokana na majeraha.

Hitimisho, naunga mkono kuuwawa kwa majambazi sehemu yoyote kwa namna yoyote na mtu yeyote wakati wowote.
ilikuaje hiyo mzee?
 
Back
Top Bottom