Recent content by Shaycas

  1. Shaycas

    Kitabu Kipya: Mwongozo wa Maisha ya Mafanikio

    Hongera Muuza Matumaini Dr Amani Makirita. KAZI na jitihada zako zinaonekana. Sambaza ujumbe wako kwa watu wengi zaidi wapate like wanachotaka ili nawe upate unachohitaji. Fikiria jukwaa hili hapa la www.calipa.co.tz kuongeza WiGo na urahisi wa kuuza matumaini. "CAS LIFE PURPOSE ACADEMY"-...
  2. Shaycas

    CAS LIFE PURPOSE ACADEMY

    Hongera kwa kazi nzuri kuelimisha jamii kupitia makala za kuelimisha na kusisimua. Umekuwa unatumia platforms kadhaa kufikia wasomaji wengi kadiri uwezavyo, ni jambo jema. Vipi, umewahi kufikiria kutumia platform hii inayopatikana hapa www.calipa.co.tz? Hii platform/system ambayo ni "App na Web...
  3. Shaycas

    Maarifa na Elimu Muhimu katika Maisha

    Soma kitabu hiki kuongeza maarifa na kipato zaidi 'WEWE NI TAJIRI: UMASIKINI UNAUTAKA MWENYEWE' kutoka CALIPA - CAS Life Purpose Academy Unajali Mafanikio yako, ya Mwanao au Ndugu yako Katika Elimu, Kijamii na Kiuchumi? Jisomee kitabu hiki: "MTOTO NA MAFANIKIO" hapa CALIPA - CAS Life Purpose...
  4. Shaycas

    Elimu Popote kwa Yeyote

    Wadua habari. Kuna platforms ya kutoa/kupata elimu juu ya mambo mbalimbali. Unaweza kutoa au kupata elimu hiyo free au kwa kulipia. Kama wewe ndio unatoa elimu kwa kulipia, wadau watakaosoma watalipia na fedha hizo za malipo (75%) zinakuja kwako. Ubora wa content ndio wingi wa clients...
  5. Shaycas

    Kifo cha dola ya Marekani chawadia rasmi. Iran, Uturuki, Urusi na India zaitisha kikao Ankara kuipiga teke dola ya Marekani

    BRICKS NDIO INAITESA SANA BRAZIL SASAHIVI. INASEMEKANA VURUGU ZINAZOENDELEA HUKO ZINA MKONO WA USA.
  6. Shaycas

    Project maalumu kuinua uchumi wa watanzania,Weka wazo lako la mradi hapa na ueleze umekwama wapi utafutiwe co-investor

    Nataka kuanzisha shule, eneo la ekari kumi ninalo nje ya mjini. karibu sana kwa uwekezaji.
  7. Shaycas

    Bima ya Afya Tanzania: Kampuni bora na zenye changamoto katika kuhudumia wateja wake

    Ahsante... nilimaanisha bima zote mkazo ukiwa sio kwenye Afya.
  8. Shaycas

    Bima ya Afya Tanzania: Kampuni bora na zenye changamoto katika kuhudumia wateja wake

    Habari waungwana. Naomba kufahamu kampuni inayofanya vizuri zaidi katika huduma za bima Tanzania. Vigezo vifuatavyo vizingatiwe. 1. Uwezo wa kuhudumia na kulipa madai 2. Idadi ya wateja 3. Aina za huduma wanazotoa 4. Muda iliofanya kazi kwa miaka mfululizo. Ahsante sana kwa ushirikiano wako.
  9. Shaycas

    Mahindi 25000 Gunia Ruzuku mbolea DAP 56000 UREA loe 56000 Rukwa na haipatikani.

    Usingekuwa umekata mtaji ningekuambia cha kufanya....kikubwa hawaja kata kichwa na uwezo wa kufikiri...pole sana.
  10. Shaycas

    Kumbe nchi hii kuna watu bado wanajilipa posho 400,000 kwa siku?

    Hicho kiwango kimmependekezwa na kikao cha tathmini. Je mapendekezo hayo yamepitishwa/ kukubaliwa na mammlaka husika?
  11. Shaycas

    Tuendelee kubashiri mazungumzo baina ya serikali na Barrick. Heko ziende kwa usalama wa Taifa (TISS)

    Sijae Sijaelewa hoja yako hapa. Kitendo cha wachache kujua na kukaa kimya ndio siri yenyewe na hii imetokana na nidhamu iliyowekwa tayari. Katika majadiliano kama haya ni jambo la wazi kwamba kuna kuwa na makubaliano ya awali kati ya pande zinazojadiliana kuhusu utoaji wa taarifa kwa vyombo...
  12. Shaycas

    Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

    Nimeelewa kwamba tuwataje hao ambao sasa hawapo tena duniani na mifano aliyotoa ni ya watu ambao walishafariki. Kama nimekosea nisahihishwe na kama nipo sawa, basi waliotaja watu walio hai waombe radhi jukwaa na wote waliotajwa.
  13. Shaycas

    Families That Secretly Control The World

    Nimependa ulivyojibu kwa uhakika kabisa. Huu ndio uanaume. Jiulize japo hili halafu ufanye hitimisho... Hivi bima ya afya kwa mfano, chimbuko lake ni wapi na ni kwanini watumishi karibu wote wanatakiwa(lazimishwa) kuwa nayo? Mfumo wa elimu kwa mfano, nani alisema tusome masomo flani kwa style...
  14. Shaycas

    Serikali yatoa maelekezo ujio wa ndege ya Askofu Gwajima

    Jaribu kuelewa basi kilichoelezwa na mamlaka husika .."kama ndege inayoletwa hawaielewi inabidi mwenye ndege awape mafunzo kuhusu ndege hiyo kabla ya kuletwa nchini"... Je mafunzo hayo yatafanyikia wapi kama sio katika nchi iliyotengeneza au kumiliki ndege hiyo awali?
Back
Top Bottom