Bora umeuliza na utoe na majibu,dini ziko Africa tu???.. Ama hata wazungu wana dini na wanasali,
Haya magonjwa na wao si wanaugua
What kind of kontroo iko hapo..kama na ye anakufa kama sisi anaugua kama sisi...nk..huoni unajitengenezea mauongo flani kichwani??
Trust me I tell you I am highly informed abt hizi familia mana been quite a reader tangu mtoto
Mi at around 18 haya makorokoro ya Illuminati and shit were on my finger tips..ss kuna at some point as an individual naona mnadhani mnakua controlled kumbe walaaa hamna anaekukontrooo
Eti kuna mtu akasema oh kina bill Gates cjui Zuckerberg hawana hata digrii walitaka kutoka kwny system, mehhhn B.S...kwani nani kakuzuia wewe leo kuwa college dropout uanzishe kampuni yako na ukimaliza digrii nani kakushika usifungue kampuni, nani anakukontroo hapo???.
These families don't control everything at all..Kuna mifano mnasight haina mantiki wala relationship ktk hizi familia
Kuna vitu na vitu mfano ishu ya Global population at a large scale I agree,ishu ya Roman Catholic Church, US financial systems,music and movies industry, lakini eti college drop out, mara sijui insurance, sijui syllabus na kitu gani plssss,go read ur books this things ziko ktk level kubwa sio ya kitoto toto hata u can't live ur life the way u want...nani anakukontroo to choose the job u want,the wife u want,the children u wanna have where u want to live and go,fields of interest to work on,nk si unachagua mwenyewe???
Rockefeller akikontoroo money supply Federal Bank we unakua affected vipi kwa mfano mambo mengine hatujafika huko..ur free to live ur life,kulitokea depression in the US hata wabongo sijui kama walifeel anything....
Do you know the secrets of the world?Unaweza kunieleza kwanini kuna baadhi ya teknolojia wanazizuia?
Magari yanayotumia maji na solar yamegunduliwa miaka mingi iliyopita, unaweza kuniambia kwanini mpaka leo tunatumia magari ya mafuta ambayo visima vyake vinamilikiwa na makampuni makubwa tu?
Unaweza kuniambia kwanini serikali zipo against sana na tiba za asili,umewahi kumsikia Dr.Sebi aliyegundua tiba ya magonjwa yote?Wazungu hawakuamini na walipompeleka mahakamani akawashinda kwa proof ya watu aliowatibu ambao rekodi zao zilikuwepo mahospitalini kuwa ni wagonjwa, lakini baada ya kupata matibabu kutoka kwa Dr.Sebi wakapona.Mahakama ya Marekani ilithibitisha kuwa wamepona baada ya kupata matibabu ya Dr.Sebi na kumwachia huru. kulikuwa kuna wagonjwa wa ukimwi,hepatitis,kansa,vipofu wa macho katika watu waliotibiwa na Dr.Sebi .
Je unajua kuwa walimuua baada ya kuanza kujitokeza sana kwenye media na akawa ashapata sponsors watakaomsaidia kuja kufungua research institute hapa Afrika?Na unajua kwanini Michael Jackson aliimba wimbo wa "they dont really care about us" nae hakukaa sana wakamuua kwani alikuwa mmoja wa watu waliokua wanataka kumsponsor Dr.Sebi.Unaweza kunijibu kwanini hawatangazi watu kama hao?
Unaweza kuniambia kwanini imani za kale zinapigwa vita?je unaamini hizi imani ni ushamba tu na zimepitwa na wakati.kwahiyo wanatupenda sana na lengo lao ni kutuokoa tusiende motoni?Na kama hakuna control kwanini kuweka sheria ya uchawi?si wangetuacha tu tuwe huru kufanya tunavyotaka tushi katika ushamba wetu ?
Sheria kwa definition ya elimu yetu mbadala ambayo haijafungwa kwenye system maana yake ni mipaka ya kumdhibiti mtu asifanye anavyotaka na anavyoona ni haki.Na kuna vyombo vimewekwa ili kuhakikisha unatii sheria bila shuruti mfano ni Mapolisi
Mapolisi ni nani?katika definition yetu ya elimu mbadala ambayo haijafungwa katika system, mapolisi ni kikundi cha wahuni waliopewa kibali na serikali kufanya uhuni wao ili kuhakikisha watu wanadhibitiwa wasiende kinyume na maslahi ya system ambayo ipo ndani ya sheria.
Unaweza kuniambia kwanini nchi zisizofuata siasa za capitalism zinapigwa vita?North Korea,Iran,Cuba,Libya ya GhaddafiVenezuela ya Hugo Chavez, Zimbabwe(kisa cha Zimbabwe ni kutaka kutaifisha mali za mabepari na kuwagaia wananchi masikini,hii haiendani na capitalism) nk
Naomba uelewe vita sio lazima iwe ya kijeshi hata vya kiuchumi au kutengwa na jamii zingine nazo ni vita lengo ni kukudhibiti ili uingie kwenye control yao.
Je Unaweza kuniambia sababu za kumuua Kanali Muammar Ghadafi?kisa ni kutaka kuunganisha Afrika iwe nchi kama USA na kuhama katika mfumo wa kutumia Dollar.Kama hawataki kutucontrol unaweza kunipa sababu ya kumuua Ghaddafi?
Naomba niishie hapa nikupe nafasi ya kujibu.
Sent using
Jamii Forums mobile app