Recent content by shaweji255

  1. shaweji255

    Natafuta mtaalam wa kilimo mkoa wa Kilimanjaro

    Aise kipengele sn kk huna iman utalia aise Barikiwa sana
  2. shaweji255

    Natafuta mtaalam wa kilimo mkoa wa Kilimanjaro

    Hongera sana Kk mkubwa, Umetaja hiyo sehemu makanya umenikumbusha 2017 , nilimaliza Kaz ya mkataba hapa dar nikapata kinua mgongo wangu km 2 mil. Aise nilikua hapo Kwa kulima zao moja linaitwa ngwasha ni aina ya maharage flan hivi ya rangi nyeusi na nyeupe, nikadili na vitungu kwa mbali kule...
  3. shaweji255

    Nini kimemkuta Idris Sultan?

    Daaah Ni kweli mwamba Kaisha, Mm ni dereva wa Tax Mtandao Nilimchukua Mikocheni Nilikuja Kumtambua km Ni yeye Baada ya Kuongea na simu Alooh Jamaa Amepungua sijui nn Kimemsibu
  4. shaweji255

    Hii imekaaje wakuu? Hapa kosa langu ni nini?

    Shukuru mzee Kwa yote Kwetu tuna pewa migongo na vipepsi tuu
  5. shaweji255

    Nimeoa mwezi wa tatu huu mke wangu hapati mimba,nifanyaje?

    Mzee baba Usiwe na panic mm ni mwana ndoa tng mwaka jana mpk now sija fanikiwa kupata mtoto na wote wawili tumepima tupo vzr kbs hii hutokea ndugu. Nikutie moyo kuwa na subira Kila kitu kitakuwa sawa
  6. shaweji255

    Maumivu ya kiuno na mishipa ya Korodani

    Ok Nita wapigia wakuu wangu nilikuwa busy Kidogo na shughuli za Kujenfa Taifa Ndio narudi Nikitulia nita wajulisha na picha kbs
  7. shaweji255

    Maumivu ya kiuno na mishipa ya Korodani

    Basi Jaribu Kwa madoctor wanao dili sana Mifupa ya kiuno pa.aoja na spinal code Ndio huleta hzio sheeda smtm kuna pingili zakwenye kiuno na mgongo huwa zina sagika huleta hayo maumiv Kaka na kupelekea korodan pia kuleta maumivu na hupelekea kupata tezi dume Kwa harka sana ngoja ni kuangalizie...
  8. shaweji255

    Maumivu ya kiuno na mishipa ya Korodani

    Kaka Naomba Nileleze ninavyo fahamu mm Kama ni Dereva Hilo Ni tatizo kubwa sana maana ukiwa muendeshaji muda mrefu Hiyo Hali Hii utokea, Lingine kama mkaji sana ofisini Hilo Tatizo lazima likutoke Kuna Baadhi ya Mazoezi Hupunguza kbs hayo Maumivu Au kupona km umejua mapema ni hilo. Vinginevyo...
  9. shaweji255

    Kifo cha hawara (Mkono Wa Jini)

    Kwa kweli Moyo wangu Ss umetulia kwa kweli maana nilivyo kuwa nafatilia hivi asante na barikiwa kaka
  10. shaweji255

    Foleni kali sana Ubungo - Kimara

    Kuna muda mpk na zima gari na sahau km nipo kwenye folen
  11. shaweji255

    Kifo cha hawara (Mkono Wa Jini)

    Sijui ni mm niliyekuwa nafatalia simuliz zake Zikiwa zimeisha kbs, Tofauti na hii nimekuwa miongon na subiri na sio kwd yng. Au tupishe Bakuli la Bundle
  12. shaweji255

    Foleni kali sana Ubungo - Kimara

    Mm huwa sielew kinacho fanya folen kuwa kubwa mpk mtu unahisi kuchngnykiwa Lkn unapo sogea taratibu hkn kinacho sababisha hiyo folen
Back
Top Bottom