Maumivu ya kiuno na mishipa ya Korodani

Maumivu ya kiuno na mishipa ya Korodani

Asante sana kwa ushauri yes ni mtumish mda mwingi ninakua nimekaa na pia kusimama vile vile, nimejaribu kurekebisha vyakula na mazoez lakin naona hali bado
Umerekebisha vipi chakula?
 
Ok Nita wapigia wakuu wangu nilikuwa busy Kidogo na shughuli za Kujenfa Taifa Ndio narudi Nikitulia nita wajulisha na picha kbs
 
Habari za majukum wanajamvi,

Nielekee moja kwa moja kwenye mada, nimekua napatwa na maumivu makali sana ya kiuno na kwenye mishipa inayoenda kwenye korodani.

Hali hii inatokea zaidi haswa baada ya tendo la ndoa. Kwa wenye ujuzi naombeni msaada wenu au kama kuna daktari mahsusi kwa kina baba kwa hapa Dar es Salaam nisaidieni contact zake
Pole sana ndugu kwa changamoto yako...

Hii hali uliyouliza ni ya msingi sana, na mara nyingi inaweza kuhusiana na matatizo ya mfumo wa mkojo, tezi dume (prostate), au mfumo wa uzazi wa kiume. Dalili za maumivu ya kiuno yanayoelekea kwenye mishipa hadi korodani hasa baada ya tendo la ndoa zinaweza kuhusiana na mambo kama:
  • Prostatitis (uvimbe wa tezi dume) – mara nyingi husababisha maumivu ya kiuno, nyonga na korodani.
  • Maambukizi ya njia ya mkojo au UTI ya wanaume.
  • Varicocele au hydrocele – mishipa ya korodani ikipanuka au kujaa maji.
  • Nerve compression (mishipa kubanwa) kwenye uti wa mgongo wa chini (lumbar spine).
  • Hernia – ngiri husababisha maumivu ya aina hiyo hasa kwenye korodani.
👨‍⚕️ Daktari mahsusi wa kushughulikia matatizo ya wanaume ni Urologist. Wapo hospitali kubwa hapa Dar es Salaam.

📍 Baadhi ya maeneo unaweza kufika:
  • Muhimbili National Hospital (MNH) – wana idara ya Urology.
  • Regency Medical Centre (Upanga) – wana madaktari wa Urology.
  • Aga Khan Hospital – pia kuna urologists.
  • TMJ Hospital, Upanga.
Pia kwa ushauri zaidi unaweza kuonana nami tukajadili zaidi kimatibabu na afya ya uzazi kiujumla.

👉 Ushauri: usisite kwenda kupimwa mapema kwa sababu kuchelewa kunaweza kufanya hali iwe ngumu zaidi.

Kama unahitaji ushauri zaidi
Mr sulomy
+255718958410 / +255626908654
Dar es salam
 
Aisee this is what I was looking pamoja na shaur nyingine hapo juu asante sana, nitakupigia shortly.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom