Recent content by shauwkan

  1. shauwkan

    Nahitaji fomu ya huduma kwa wateja ukusanyaji wa kodi ya majengo

    Naomba msaada wa "link" au "soft copy " ya fomu hii pichani. Natanguliza shukran.
  2. shauwkan

    Utakapooa usisahau mambo haya

    [emoji28][emoji28] Sent using Jamii Forums mobile app
  3. shauwkan

    Naomba kujua gharama za pikipiki ya maringi 3 (Bajaji) aina ya TVS

    Habari wakuu, Naomba msaada, kwa anayefahamu gharama za ununuzi wa Bajaji mpya aina ya TVS (Dar es Salaam) 1. Bei ya Bajaji 2. Bima 3. Leseni ya Barabarani Natanguliza shukrani. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. shauwkan

    Hizi ndio ofisi 23 ambazo waajiriwa hujisikia na wana nyodo sana

    Hahaha,plus the late ARU's loan officer
  5. shauwkan

    DEREVA

    Ingia ajira portal kuna nafasi Kama 851 za serikali zimetolewa, nenda apply hizi inaweza kukusaidia Sent using Jamii Forums mobile app
  6. shauwkan

    PEOPLE’S BANK OF ZANZIBAR

    Shukrani mkuu[emoji120][emoji120]
  7. shauwkan

    PEOPLE’S BANK OF ZANZIBAR

    Shukran sana mkuu
  8. shauwkan

    PEOPLE’S BANK OF ZANZIBAR

    Duuh aseee nashukuru kwa taarifa mkuu
  9. shauwkan

    PEOPLE’S BANK OF ZANZIBAR

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  10. shauwkan

    PEOPLE’S BANK OF ZANZIBAR

    Hapana nataka kufanya comparison between two institutions ambazo mdogo wangu amepata kazi
  11. shauwkan

    PEOPLE’S BANK OF ZANZIBAR

    Anaefahamu salary scale ya (bank officer) PBZ mwenye bachelor degree, naomba msaada wakuu.
  12. shauwkan

    This accessory is not supported by this device.

    Asante sana mkuu [emoji120]
Back
Top Bottom