PEOPLE’S BANK OF ZANZIBAR

Kuna mzee mmoja ni msaidizi wa meneja kuna tawi moja katika benk maarufu sana hapa nchini mbona kachoka sana kimaisha
 
Nina washikaji zangu wengi
TPB wanalipwa 925,000 starting kwa bachelor
NMB 918,000
CRDB ndo afadhali ni 1,025,000
EQUITY BANK Ni 968,000 bachelor
Ila waliobaki ni hovyo sana
Access 400,000
PBZ NI 400,000
Hatari
So sad...kwa hiyo ni kuonekana tu? Bado benki zote kumbe hazina salary nzuri. Na hao PBZ na wenzao wamezidi mno...!
Vipi kuhusu posho especially za OVERTIME, zipo kwenye rate ipi?
 
Mtoa mada achana na hao wanaokuambia kuhusu PBZ wanalipa laki nne, Hiyo laki nne pale ni internship tena bila kujali level ya Elimu yako, Kuna branch ukikaa unapata posho mpaka million tano kwa wiki tatu au mwezi inategemea na safari.

Exactly amount wanaolipwa siwezi kutaja hapa but ndio hivo, Alafu ukiajiriwa kama benki ofisa unaweza baadhi ya siku kupewa kazi ya teller ambayo allowance yake 300k

Shukrani mkuu
 
Acha kudanganya watu , hata benk kuu hapati posho hiyo, kumbuka watu tumefanya kazi benk kwa miaka kadhaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom