PEOPLE’S BANK OF ZANZIBAR

i
We jamaa sijui hata kama umewahi kuajiriwa wewe?

Entry level position hizo benefits zinatoka wapi?eti safari za nje teh teh

Endelea kula buku 7 hapo lumumba.
Wewe benki ndogo mtu anakuwa Na role nyingi waweza kuta yeye ndio teller ,afisa mikopo Na customer care officer.Hizo kazi zingine ndizo wanampa posho Na gari sababu kama officer mikopo anatakiwa kwenda field na kupunguza gharama hawaajiri dereva.Benki ndogo mtu anakuwa Na roles nyingi Na benefits zipo nyingi japo mshahara ni mdogo
 
iWewe benki ndogo mtu anakuwa Na role nyingi waweza kuta yeye ndio teller ,afisa mikopo Na customer care officer.Hizo kazi zingine ndizo wanampa posho Na gari sababu kama officer mikopo anatakiwa kwenda field na kupunguza gharama hawaajiri dereva.Benki ndogo mtu anakuwa Na roles nyingi Na benefits zipo nyingi japo mshahara ni mdogo
We ongea theories tu kama mlivyozoea kutudanganya.

Afisa mikopo/customer care officer/teller anapewa safari za nje teh teh,ulale upunguze wenge aisee.
 
We ongea theories tu kama mlivyozoea kutudanganya.

Afisa mikopo/customer care officer/teller anapewa safari za nje teh teh,ulale upunguze wenge aisee.
Benki za nje attachment mbona kawaida mkuu usilinganishe Na zisizo na Branch nje ya nchi! Officer wa Access bank Tanzania aweza kwenda Ghana or Nigeria kimafunzo and give versa
 
Benki za nje attachment mbona kawaida mkuu usilinganishe Na zisizo na Branch nje ya nchi! Officer wa Access bank Tanzania aweza kwenda Ghana or Nigeria kimafunzo and give versa

Teh we jamaa kwa ujuaji uko vzr.By the way nimewahi kufanya kazi KCB bank najua hayo unayosema yote hakuna entry level officer mwenye baadhi ya benefits hizo.So acha sound.

Ukute unaongelea customer care Relationship Manager kupata trip ya nje ukajua huyo ni entry level officer,teh teh
 
iWewe benki ndogo mtu anakuwa Na role nyingi waweza kuta yeye ndio teller ,afisa mikopo Na customer care officer.Hizo kazi zingine ndizo wanampa posho Na gari sababu kama officer mikopo anatakiwa kwenda field na kupunguza gharama hawaajiri dereva.Benki ndogo mtu anakuwa Na roles nyingi Na benefits zipo nyingi japo mshahara ni mdogo
Na by the way unadhani kuwekewa mafuta kwny gari na kutumwa field ni kitu cha kujivunia sio?

Wajanja hapa mjini wameshakataa suala la kuwekewa mafuta kwa kazi za ofisi(field),unajua gharama za uchakavu wa hilo gari linaloenda huko field(tyres,suspensions, etc) badala ya kupark tu ofisini zinakua juu ya nani?
 
Nina washikaji zangu wengi
TPB wanalipwa 925,000 starting kwa bachelor
NMB 918,000
CRDB ndo afadhali ni 1,025,000
EQUITY BANK Ni 968,000 bachelor
Ila waliobaki ni hovyo sana
Access 400,000
PBZ NI 400,000
Hatari

Shukran sana mkuu
 
Hao wameanza kazi lini?

Hahahahahaha Daaaaah......
 
Mtoa mada achana na hao wanaokuambia kuhusu PBZ wanalipa laki nne, Hiyo laki nne pale ni internship tena bila kujali level ya Elimu yako, Kuna branch ukikaa unapata posho mpaka million tano kwa wiki tatu au mwezi inategemea na safari.

Exactly amount wanaolipwa siwezi kutaja hapa but ndio hivo, Alafu ukiajiriwa kama benki ofisa unaweza baadhi ya siku kupewa kazi ya teller ambayo allowance yake 300k
 
Maisha yako chini Zanzibar zinatosha usimlinganishe Na huko kwako
Mzee baba vice versa is true! Mishahara ndio ipo chini ila maisha hayapo chini kaka! Sehemu idadi ya vitu vingi vinapimwa kwa mzani afu maisha chini imagine Nyanya Kilo 1 elfu 1800 kwa bara hapo unapata zaidi. huo ni mfano tu wazanzibar wanaelewa hilo
 
Nina washikaji zangu wengi
TPB wanalipwa 925,000 starting kwa bachelor
NMB 918,000
CRDB ndo afadhali ni 1,025,000
EQUITY BANK Ni 968,000 bachelor
Ila waliobaki ni hovyo sana
Access 400,000
PBZ NI 400,000
Hatari
Vipi boa bank?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom