Naomba kujua gharama za pikipiki ya maringi 3 (Bajaji) aina ya TVS

shauwkan

Member
May 16, 2018
28
10
Habari wakuu,

Naomba msaada, kwa anayefahamu gharama za ununuzi wa Bajaji mpya aina ya TVS (Dar es Salaam)

1. Bei ya Bajaji
2. Bima
3. Leseni ya Barabarani

Natanguliza shukrani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Milioni 7900000 kwa ajili ya bajaji ngapi? Hivi tuna tatizo la uandishi wa kwa kiwango hiki?
Ukiona mtu anaandika idadi ya fedha zaidi ya 999 bila kutenganisha na koma, jua mahesabu kwake yamempiga chenga!

7900000 7,900,000
 
Back
Top Bottom