PEOPLE’S BANK OF ZANZIBAR

shauwkan

Member
May 16, 2018
28
10
Anaefahamu salary scale ya (bank officer) PBZ mwenye bachelor degree, naomba msaada wakuu.
 
Nina washikaji zangu wengi
TPB wanalipwa 925,000 starting kwa bachelor
NMB 918,000
CRDB ndo afadhali ni 1,025,000
EQUITY BANK Ni 968,000 bachelor
Ila waliobaki ni hovyo sana
Access 400,000
PBZ NI 400,000
Hatari
Usiangalie mshahara tu kuna miposho pia.Unakuta mshahara mdogo posho kibao nyumba bure ,unapewa gari la ofisi posho ya mafuta ya gari nk . Safari za nje kibao,nk
 
Izo benefits sio kwa level ya mshahara huo, hapo ukiongezewa sana ni bonus kulingana na performance yako
 
Usiangalie mshahara tu kuna miposho pia.Unakuta mshahara mdogo posho kibao nyumba bure ,unapewa gari la ofisi posho ya mafuta ya gari nk . Safari za nje kibao,nk
We jamaa sijui hata kama umewahi kuajiriwa wewe?

Entry level position hizo benefits zinatoka wapi?eti safari za nje teh teh

Endelea kula buku 7 hapo lumumba.
 
Wao wanapewa safari za nje mkuu. Mwenzake anaebishana nae katoka Thailand juzi jioni.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom