Recent content by sharif ponera

  1. sharif ponera

    JamiiForums Tanzania Naliomba Jeshi la Magereza lizuie chakula anacholetewa Lissu na ndugu zake maana wana mpango wa kuchafua serikali

    Hii naipitisha moja kwa moja maana waafrika tuna roho mbaya sana haiwezekani mtu unaleta uzi wa kutaka mwenzako asipelekewe chakula
  2. sharif ponera

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna namna Yanga inahujumiwa, ni ngumu kushinda ubingwa msimu huu

    Sasa mbona referii aliongeza dakika 6 na kuacha mpaka dakika 10 unataka je? Acha kulalamika kwa hoja dhaifu
  3. sharif ponera

    JamiiForums Tanzania Mugabe asweka ndani mashoga hadi washike ujauzito

    Inaonesha kuna watu sijyi hawajui kusoma au nii? Mtu anahoji eti mgabe mahakama kivipi wakati ushahidi upo wazi kuwa walikuwa wanataka kufunga ndoa? Au mmezoea nchi ya kitu kidogo ambayo hata ushahidi upo wazi inaunda tume?
  4. sharif ponera

    JamiiForums Tanzania King Kiba anafunga Mwaka Leo ndani ya capital city Dodoma

    Acheni ujinga ujumbi mkubwa huo
  5. sharif ponera

    JamiiForums Tanzania SABODO sasa ashauri fedha zibadilishwe, ampongeza Rais asema hakuna haja ya upinzani

    Sidhani kama itakuwa dawa maana itakuwa washazibadili
  6. sharif ponera

    JamiiForums Tanzania Rais Joseph Kabila wa DRC ni Mnyarwanda

    Basi kama ndiyo huvyo wanauhusiano na kagame
  7. sharif ponera

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akamatwa na Jeshi la Polisi

  8. sharif ponera

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akamatwa na Jeshi la Polisi

    Akae lupango mpaka waache kuropoka
  9. sharif ponera

    JamiiForums Tanzania Asili ya neno "IFAKARA"

    Kabla ya jina hilo la ufwakara palikuwa panaitwaje? Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
  10. sharif ponera

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tumechanganyikiwa, hatujui tumesimama wapi!!

    Wakati dr. Slaa anawania urais 2010 nilikuwa muumini sana wa chadema lakini pale tu walipompokea Lowasa sijawa muumini wao kabisa na sitaki hata kuisikia
  11. sharif ponera

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Spika yakanusha uvumi juu ya afya ya Spika Job Ndugai

    Taarifa tata hiyo
  12. sharif ponera

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kufanya mapenzi na ndugu wa damu ni kosa kisheria

    Hiyo imetolewa kwa sababu ya umri wa mtoto angekuwa mkubwa asingehukumiwa
  13. sharif ponera

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu: Tunainyoosha nchi, lazima maumivu yawepo

    Jamani hata sijamwelewa huyu mama mfano wake
Back
Top Bottom