Rais Joseph Kabila wa DRC ni Mnyarwanda

Rais Joseph Kabila wa DRC ni Mnyarwanda

Usijifanye unashuku! Huo ndiyo ukweli, nyuma ya Kabila Jr yupo Museveni na Kagame (Tutsi-hima military juntas). Pia kikosi cha kumlinda Kabila Jr ni askari maalum kutoka Rwanda. Congo lazima irudi mikononi mwa wakongo halisi na siyo vibaraka kutoka Rwanda/Uganda.
Asavali umekuja huyu jamaa alikuwa ananirushia stimu tu. This is it.
 
MMESAHAU RAIS WENU MWENYEWE NI MTUSI NINA WASWAS NA MKULU
 
Swali lako la kwanza jibu lake ni ndio hizo habari ni za kweli na nashangaa huenda ni wewe tu na watu wachache wasiolijuwa hili.

Fuatilia vizuri historia ya askari mamluki Banyamulenge aliowatumia Kabila Sr kumng'oa Mobutu ni watu wa kutoka wapi na ahadi yao ilikuwa wapewe nini after acomplish mission.

Nadhani ningeona umetumia akili kubwa kama ungejikita kujuwa Marekani wanaslahi gani Congo na ni nani kibaraka wa CIA.

mkuu,nan uyo kibaraka wa CIA?,ni PK au kabila mwenyewe
 
So what??? Mipaka iliwekwa na wakoloni lakini makabila yapo kila mahali.
 
Niliwahi kusoma hili jambo kuwa kuna kitu kinaandaliwa TUTSI EMPIRE. wanasema na yule wa Uganda pia
 
Hii taarifa mbona ni common knowledge.Namshangaa sana Kabila kung'ania DRC.Yaani mtu unang'ang'ania kutawala nchi where you are an alien.

Ila dah,DRC tamu jamani na utajiri wote huo.Jamaa wakishirikiana na Marekani,Israel na Ubelgiji wanakomba tu.
Ipo stunning report Facebook imetumwa na Comred Mbwana Cameroo Allyamtu anasema;

Jina lake halisi ni Hyporite[Hypolite] Kanambe na ni Mtusi wa Rwanda kwa baba na mama pia ni mpwa kabisa wa Waziri wa ulinzi wa Rwanda James Kabarebe.

Baba yake ni nani?

Baba yake Joseph Kabila Adnan Christopher Kanambe alikuwa swahiba mkubwa wa Laurent Desire Kabila. Hata kwenye vita mbalimbali walishirikiana pamoja. Alipofariki Adnan Kanambe ndio Desire Kabila akamuoa mama take Hypolite Kanambe.
Mazingira ya kifo cha Adnan C. Kanambe yamekuwa ya utata kidogo mpaka Leo .Duru za uchambuzi zimedai kuwa Mzee Kabila anahusika lakini bado hazijakuwa wazi kabisa.
Ni kwli alikuwa anashurikiana na Kabila katika masusla ya vitaya msituni huko Congo ijspokuwa Adnan Kanambe alikuwa Mnyarwanda. Ngome yao ilikuwa karibu na Lake Tanganyika.
Makubsliano yao ilikuwa ni kumuondoa madarakani Mobutu kwanza halafu baadaye kuing'oa serikali ya Habyarimana.
Wanasema kwamba Adnan Kanambe yaani baba yake Joseph alikuwa jasiri sana kwenye medani za vita lakini wakati mwingine tactics zake nilikuwa zinawacost sana wanajeshi wao kutokana na kipigo cha jeshi la Mobutu.
Leo naishia hapa kwa kukaribisha maswali.
Ndimi Comred Mbwana Allyamtu.
Kwa Tanzania
+255 679 555 526
+255 765 502 057
Kwa Rwanda
+ 250 073 315 3930
+250 788 214 234
Kwa DRC
+ 243 977 860 824

mbwanaallyamtu990@gmail.com
 
Ni kweli ila tatizo LA wa Tz hatupendi kusoma na kudadisi mambo yanayoendelea duniani, hizo makala zimeshaandikwa sana na magazine nyingi tu hapa Africa na nje ya Africa kwamba kabila sio mcongo man, ni mnyarwanda kwa baba na mama, kuna magazine inaitwa "APARECO" hii imeeleza kila kitu, yaani hawajacha hata chembe ya the origin of JOSEPH KABILA, na watu wote wanaoandika humu JF wote reference zao ni kwenye hiyo magazine ambayo kwa Mara ya kwanza iliandikwa mwaka 2013. Hii magazine ni maarufu mpaka ikafika wakati ilibidi itengenezewe application yake vile ilikuwa ikisomwa na mamilioni ya watu wanaofuatilia maswala ya CONGO NA RWANDA. By the way anaetaka kuisoma makala hii ntaiweka hapa badae nikitulia ila imeandikwa "kithungu" jaman.

Asanteni
 
Uzuri Andrew Nyerere kidhungu anakijuwa vyema, ukiileta hiyo magazine hapa utakuwa umemsaidia sana maana inaonekana yupo gizani kwenye hii scenario.
 
Usijifanye unashuku! Huo ndiyo ukweli, nyuma ya Kabila Jr yupo Museveni na Kagame (Tutsi-hima military juntas). Pia kikosi cha kumlinda Kabila Jr ni askari maalum kutoka Rwanda. Congo lazima irudi mikononi mwa wakongo halisi na siyo vibaraka kutoka Rwanda/Uganda.
Ukitaka kujua picha nzima ya nani yupo nyuma ya congo mtafute JK, Kagame alikuwa anaingilia maslai binafsi ya jk, jk anammaindi
 
Nyerere ukirudi nyuma 4 generations,only 4, ni Mjaluo.
Hapo siamimini but inasemekana walitokea Burundi ama kongo but walipofika kwa waha walikuwa wakiulizwa "wazanaki" na ndio chimbuko la hiyo kabisa, kama walivyo wanyamwezi
 
Saa nyingine unaweza kufuru ukifikiria kwa nini umekuwa muwafrica tuna ubinafsi mno
 
Ina maana nyie wote mkimuona mndengereko hamu mjui?kabila ni mdengereko wa mkiu yule babu yake anatokea ikwiriri bibi yake anatokea mbwera rufiji
 
Back
Top Bottom