Ninachokisikia bungeni kutoka kwa wapinzani:-
1:- madai kua Mawaziri wa Magu hawajapewa instrument tangu wachaguliwe miezi 6 iliyopita, hivyo hawana mamlaka hata ya kumtumbua mtu.
Na aliyekiri hayo ni pm.
2:- pia hawana job description hivyo ni ngumu kuwa-asess kama wanafanya kazi accordingly ama la.!
3:- Pi hoja ya bunge live nadhani hii ni hoja ta msingi sana. Tena sana. Inaingia kwenye transparency issues. Hatupaswi kusimamiwa katika kupata habari...
Tujadili utumbuaji majipu:-
Unaposema mafisadi wametumbuliwa.
1).Nini maana ya kutumbuliwa(KiSHERIA)?
2).Unao ushahidi wa FISADI yeyote aliyetumbuliwa. ?
3).Je sheria inatutaka tuwatumbue au tuwafunge jela?
4).Fisadi gani aliyetumbuliwa?.
5).kwa mahakama ipi na KOSA lipi?
6).Kifungu gani cha sheria kinatafsiri neno "kutumbua"?
7).Je pesa aliyochukua karudisha.?
8).Je amewekwa jela?
Bila kusahahu Mama tibaijuka kasema wazi kua wanaoguswa ni dagaa.. wanatolewa kafara. Huyu ni msisiemu. We unasemaje?.
Ila nadhani bado upinzani una hoja. Tatizo bunge likiendelea kua Live. Itafahamika tu.
Pia.mambo mengine.yataendelea kujitokeza huo tuendako. Kama sukari kupanda bei nk.