Recent content by Shantel

  1. Shantel

    JamiiForums Tanzania Dawa za kurefusha na kunenepesha uume na njia mbadala

    Kibamia au dodoki, ni jinsi unavyoweza kukoroga tu mambo safi
  2. Shantel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisaidieni kumtafakari huyu mwanamke

    Duuu unaonekana umemzimia na ww
  3. Shantel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kinachoendelea MMU kuwaumiza wanawake hakikubaliki na kikomeshwe haraka

    Sijaelewa bado
  4. Shantel

    JamiiForums Tanzania Nahisi nimeambukizwa HIV, Ushauri please

    Kapime banaaa, hamna kitu kizuri kama kupima, so utakuwa makini zaidi
  5. Shantel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Why did i get married??

    Ni kawaida kujisikia the way u feel, just give yourself a time, utajikuta unampenda na unapenda kuendelea kuwa kwenye ndoa hiyo, I fall in and out several times but now im ok, keep going, focus like never before
  6. Shantel

    JamiiForums Tanzania Utaalamu kumuona mchawi usiku!

    Usiombe kuona aisee, mie nimezaliwa hivyo, naona wakati mwingine naamka usingizini nawakamata mkono, inasumbua, mie nasali Mungu aniondolee kama ni kipaji au mizimu inanilinda mie sijui,nasali na kulala na Bible baac nakuwa na amani
  7. Shantel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyie madada mkoje? hamna hata chembe ya aibu?

    that is sooo immature, ungeongea nae hata kwenye msg kwamba hauko vizuri kuliko kukimbia,
  8. Shantel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania kuonga ni hulka ya vibabu. Vijana hatuhongi ng'o!...

    wanaume suruali utawajua tu, unakwepa majukumu ya nn, we unataka msichana matawi na lace wig zinauzwa laki nne, lazima mshee cost
  9. Shantel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamme 'emotional'

    Mwanaume wa namna hii lazima amboe mkewe kila siku
  10. Shantel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nini wake za watu (majority) hamuwezi kukituliza

    ooooops
  11. Shantel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hana swaga, atapata mpenzi kweli?

    duh chuo cha ma witch doc,swagga kwako inaweza kuwa sio swagga kwa mwenzako and vice versa is true, navyoona kama vile umemchukulia mwenzako bibi ake the huyo bibie anajifanya kukwambia bwanake hana swagga
  12. Shantel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usiipite hii post tafadhali...hebu ichungulie

    Umri sio shida kabisa katika mapenzi,cha muhimu ni mapenzi, kama unampenda kweli muoe,ila kama upo kwa ajili ya pesa zake, usimuoe kabisa
  13. Shantel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama Uko Rocky city soma hapa ...

    ooooh so bad, natoka, naenda zenji na family, double tree hilton ndo nafikia, atakaekuwepo huko ani pm, maana itakuwa swim jf swim jf swim jf
  14. Shantel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Is sex addiction real?

    Kila kitu kikiwa too much, kina kera, sasa ukiwa na mpenzi anaependa sex sana sana kila mara nayo inaboa, sijui maumbile yetu wanawake au vipi, nachojua tukisha pata orgasm tunachoka sana na kutamani kukaa mbali na dushelele kwa muda, sasa utakuta umemaliza tu mtu anadandia tena, hapo lazima...
  15. Shantel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unaweza kunipenda bila kuniona?.....

    Vyote rutta
Back
Top Bottom