Hamna hoja hapo !
Wadau mm nina umri wa miaka 26 now, nimemaliza Sheria Chuo Kikuu Mzumbe ila sijabahatika kupata kazi bado. Imetokea nimependana sana na dada mmoja ambaye ni Kaimu Mchumi wa Halmashauri fulani ya Mji, tatizo ni kwamba ana umri wa takribani miaka 35 sasa, na wkt namuapproach moja ya sababu iliyopelekea asite kunikubalia ni age difference ila at last nikafanikiwa kumshawishi...washkaji na kaka zangu wananionea wivu sana wanadai huyu dem ananilea na kuna tetesi kwamba anapata mshahara mkubwa sana coz ameajiriwa zamani na ana masters degree.
Mara nyingi nalala kwake, nimebahatika kumiliki usafiri(gari) mapema so nikiamka nampeleka kazini asubuhi then narudi zangu maskani. Juzi kati nikamuuliza kwa kumtega kwamba nataka anipe mtoto akakubali! Jana nikamwambia nataka nimuoe akakubali! Ana uzuri wa kawaida tu ila ni mstaarabu sana, muwazi, hana mambo mengi na ananiheshimu sana ingawa kanipita umri! Nafikiria kumuoa mara tu nikipata kazi, je kuna tatizo lolote hapo wajameni?
Mmeanza wivu wenu...swali la busara la kujiuliza mkuu ni kwamba kwann ana umri wa miaka 35 na hajaolewa? pia kama aliwahi kuolewa kwann aliachika na hujaeleza kama ni MJANE, take care bro magonjwa mengi
wewe mpenzi wako akikuzidi umri huoni shida mkuu?
hiv kwanini mnashindwa kuinjoi mapenzi yenu kwa sababu zisizomithilika jamani!
kwani miaka 35 ana pembe mabegani!kama umeweza kuwa naye kwa furaha muda wote huo nini shida akiwa mkeo!
ila sasa natamani huyo dada asome hiki ulichoandika hapa!
kwa lugha jamii yangu niliyonayo kijana uko hapo for what tht sis of mine has!
UNABISHA?
angalia ulivyoharakisha kusema kuwa huyo dada ana nini?
tabia zake na undani wake umeviweka mwiiiisho
so nahis sio a worthy person to her kihiiivyo!
NAWAZA TU kwa sauti lakini!
Hakika umenena vyema
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Wadau mm nina umri wa miaka 26 now, nimemaliza Sheria Chuo Kikuu Mzumbe ila sijabahatika kupata kazi bado. Imetokea nimependana sana na dada mmoja ambaye ni Kaimu Mchumi wa Halmashauri fulani ya Mji, tatizo ni kwamba ana umri wa takribani miaka 35 sasa, na wkt namuapproach moja ya sababu iliyopelekea asite kunikubalia ni age difference ila at last nikafanikiwa kumshawishi...washkaji na kaka zangu wananionea wivu sana wanadai huyu dem ananilea na kuna tetesi kwamba anapata mshahara mkubwa sana coz ameajiriwa zamani na ana masters degree.
Mara nyingi nalala kwake, nimebahatika kumiliki usafiri(gari) mapema so nikiamka nampeleka kazini asubuhi then narudi zangu maskani. Juzi kati nikamuuliza kwa kumtega kwamba nataka anipe mtoto akakubali! Jana nikamwambia nataka nimuoe akakubali! Ana uzuri wa kawaida tu ila ni mstaarabu sana, muwazi, hana mambo mengi na ananiheshimu sana ingawa kanipita umri! Nafikiria kumuoa mara tu nikipata kazi, je kuna tatizo lolote hapo wajameni?
Kwani wakati wa harusi mtachonga msalaba kuonyesha alizaliwa lini?
Ingia uwanjani kwanza uanze kuicheza ngoma ndio ujue utamu wake. Dogo kupishana umri sio shida, ila that is too much....hapo mimi sikushauri kabisa yani 26 kwa 35?
Kwa thread hii umeonesha hujiamini na hufai kuwa na familia
'
Kama ungekua unajiamini usingekuja hapa,kusema unaonewa wivu ni dalili ya kushindana na woga ulio ndani mwako
'
Pia kelele za rafiki zako zinakuchanganya sana
'
Halafu inaonekana vitu vya huyo dada ndo vimekuchanganya zaidi maana hapa hujazunguzia chochote kuhusu hisia wala mapenzi yako kwa huyo dada
'
I feel sory for her!