Nisaidieni kumtafakari huyu mwanamke

Nisaidieni kumtafakari huyu mwanamke

Mkuu au ndo aka apa kabint ka mizinga napata nako dina hapa Jogoo house?
cz kuna uzi nimeuweka kua nipo ARUSHA nw natafta mwenyej, nikashangaa m2 ana nPM nikachat nae atimae nikamwita maeneo na mpaka xaxa nipo nako.

Habari zenu wana Jamii forum nimekutana na hili sakata isue iko kama ifuatavyo

Kuna msichana hapa mtaani jina na muhifadhi ni mzuri kisura hata kiumbo nilikutana nae uswahili mara ya kwanza kwenye vibanda hivi vya wakala wa mitandao tigo pesa via voda pesa tulisalimiana na akanichangamkia vibaya.

Sasa huyu demu ikawa nikirudi katika mihangaingo yangu jioni lazima tupishane mtaani itokezee tuu nisimuone huwa akiniona ananishangaa sana na kunitolea macho mpaka ananipindia na shingo mwanzo nikaona kawaida ila sku zinavoenda mwisho nikamzoea na tabia yake. Mbaya zaidi huwa namkuta na marafiki zake sjui ndugu zake ila hunishangaa mpaka hueka tama.

Kwa vile yuko kitaa nikapata data zake ni mtoto wa chuo kiko likizo time yupo kwa shangazi yake nikamua kumpotezea sasa kila sku znavoenda ikawa ndo ivo ivo na na lugha zake za macho.

Kuna siku tukavabana dukani yuko na marafiiki zake nafkiri nikamsalimia sasa mm nanunua vitu dukani wao wakonyuma wananiteta nilipo maliza nikaondoka ila nikimtazama na muhisi anakitu anataka kusema kitu.

Last week hapa wakati naelekea town nikakutana nae kwenye bas la uda kuniona tu wakati napanda bas akanambia njoo ukae hapa yaani nikae siti nae moja kabla ya hata kunisalimia nikawa namuuliza maswali yaan full kunitegaaa nikawa najiuliza huyu ananini mpaka nikaelewa huyu ananitaka mm sina haraka nae nikamuomba number ya simu bahat mbaya akashuka njiani. Niliporudi home jioni nikampigia simu kumjulia hali.

Tukawa tunachat sasa Whatsap mambo yakawaida sasa mm skumdoea nikawa nataka nimjue lengo lake nini cha kushangaza hata siku tatu hazijafika ameniblock whatsap, nampigia simu hapokei wakati nili plan nimzoee nimuapproach nimdooee kipindi cha kati jioni narud katika kibarua nikapitia dukani nikamkuta na shangazi yake ananishangaa na macho ya wizi yaani mpaka naondoka ananiangalia mpaka yule shangazi yake anamshangaa.

Sku zote kila nikimtafuta kwa simu simpati nikaona acha nipotezee labda katanapigia ila jana nikakutana na shoga ake mmoja au itakuwa ndugu yake kituo cha basi namuulizia shoga ako ajambo amenambia ameondoka leo kaenda Arusha kaenda malizia Likizo huko kwa wazee wake yaani ndo kwao.

Hivi huyu demu anamaaniisha nini maana nilitaka nipange nae promis nimdoee amenikatia na mawasiliano ghafla au nimemtafisri vibaya.
 
hapo kuna mawili..MOJA kaona wewe si kiungo mfungaji..MBILI yuko bize na masomo kwa sasa.

Inawezekana ila baada kunikatia mawasiliano nilifanikiwa kumuona sku moja ila ndo alikuwa na shangazi yake imenishangaza kwa kweli ila hana subira
 
Usipende vya kunyongaaa, windaaa! Vibudu sio class yako! A MAN IS ALL ABOUT STANDARDS! Mimi kama mwanamke hata nipende vipi mwanaume asiponitongoza baaaaaaaaaassss! DO YOUR ANCESTORS PROUD!

Au ndo ww ila nilikua ktk process ya kwenda anapotaka sasa mm nataka niteme sumu kasepa kwao
 
Mkuu au ndo aka apa kabint ka mizinga napata nako dina hapa Jogoo house?
cz kuna uzi nimeuweka kua nipo ARUSHA nw natafta mwenyej, nikashangaa m2 ana nPM nikachat nae atimae nikamwita maeneo na mpaka xaxa nipo nako.

Usikute ndo huyo yuko vipi ila sifikiriii km yuko humu
 
Habari zenu wana Jamii forum nimekutana na hili sakata isue iko kama ifuatavyo

Kuna msichana hapa mtaani jina na muhifadhi ni mzuri kisura hata kiumbo nilikutana nae uswahili mara ya kwanza kwenye vibanda hivi vya wakala wa mitandao tigo pesa via voda pesa tulisalimiana na akanichangamkia vibaya.

Sasa huyu demu ikawa nikirudi katika mihangaingo yangu jioni lazima tupishane mtaani itokezee tuu nisimuone huwa akiniona ananishangaa sana na kunitolea macho mpaka ananipindia na shingo mwanzo nikaona kawaida ila sku zinavoenda mwisho nikamzoea na tabia yake. Mbaya zaidi huwa namkuta na marafiki zake sjui ndugu zake ila hunishangaa mpaka hueka tama.

Kwa vile yuko kitaa nikapata data zake ni mtoto wa chuo kiko likizo time yupo kwa shangazi yake nikamua kumpotezea sasa kila sku znavoenda ikawa ndo ivo ivo na na lugha zake za macho.

Kuna siku tukavabana dukani yuko na marafiiki zake nafkiri nikamsalimia sasa mm nanunua vitu dukani wao wakonyuma wananiteta nilipo maliza nikaondoka ila nikimtazama na muhisi anakitu anataka kusema kitu.

Last week hapa wakati naelekea town nikakutana nae kwenye bas la uda kuniona tu wakati napanda bas akanambia njoo ukae hapa yaani nikae siti nae moja kabla ya hata kunisalimia nikawa namuuliza maswali yaan full kunitegaaa nikawa najiuliza huyu ananini mpaka nikaelewa huyu ananitaka mm sina haraka nae nikamuomba number ya simu bahat mbaya akashuka njiani. Niliporudi home jioni nikampigia simu kumjulia hali.

Tukawa tunachat sasa Whatsap mambo yakawaida sasa mm skumdoea nikawa nataka nimjue lengo lake nini cha kushangaza hata siku tatu hazijafika ameniblock whatsap, nampigia simu hapokei wakati nili plan nimzoee nimuapproach nimdooee kipindi cha kati jioni narud katika kibarua nikapitia dukani nikamkuta na shangazi yake ananishangaa na macho ya wizi yaani mpaka naondoka ananiangalia mpaka yule shangazi yake anamshangaa.

Sku zote kila nikimtafuta kwa simu simpati nikaona acha nipotezee labda katanapigia ila jana nikakutana na shoga ake mmoja au itakuwa ndugu yake kituo cha basi namuulizia shoga ako ajambo amenambia ameondoka leo kaenda Arusha kaenda malizia Likizo huko kwa wazee wake yaani ndo kwao.

Hivi huyu demu anamaaniisha nini maana nilitaka nipange nae promis nimdoee amenikatia na mawasiliano ghafla au nimemtafisri vibaya.

Hapo kuna mambo mawili:
1. Aidha ana kupenda
2. Kuna fununu/ tetesi ambazo zinazo weza kuwa nzuri/ mbaya alizo wahi kuzisikia kuhusu wewe sasa ana ku study
 
Hata mimi nilikuwa nahisi kitu km icho maana km angekuwa na nia yadhati angeniacha niwasiliane bila kizuizi ila ghafla kachange thx kwa shauri
 
Achana nae, muda wa drama umeshaisha. Tengeneza pesa tu
 
mwache mtoto wa watu asome
yaweza kwel alikuwa anakupenda akakumbuka anasoma
 
Usikate tamaa we jipe hope kuwa demu kapoteza simu akipata nyingine atakuwa kwa hewa.
 
Hamna kitu kama iko, huyo mchuchu kagundua kuwa alijichanganya kujitongozesha kwako ndo maana kakublock... Ulichelewa mno ku-react
 
Huyo ashazoea kamchezo, hapo alikuwa mbali na jamaa yake ndo maana alionyesha kukutaka.

Pia mtu akikublock tu ujue huyo anamambo mengi hataki agonganishe magari au hataki mtu wake amshtukie.

Achana nae hana issue
 
Huyu msichana alikuwa ana kupenda lakini umesha mpoteza na una juta!
Wewe amekuona ni msumbufu na alijua lazima umtongoze sasa wewe umepiga kimya sijui ulitegeme atakutongoza? Mwanamke atakama ana kupenda ni ngumu kukutongoza!

Sasa kakuonesha ishara zote umemuelewa lakini umeshindwa kumtongoza ndio maana kaona huna maana bora ukublock maana unazidi kumuumiza tuu!
Kama kuchat whatsapp ana weza chat na wengine lakini wewe umetenda dhambi ya kutomulewa name ndio maana kakupa adhabu ya kukublock!

Unastahili adhabu uliyopewa ili siku nyingine ujifunze kutochelewa chelewa, huyo humpati tena umemkera sana lasivyo funga safari ya kwenda Arusha!
 
Back
Top Bottom