Nyie madada mkoje? hamna hata chembe ya aibu?

Dogo upo kale kastage unapenda nyapu mjini na huna pesa kila siku kulalamika humu
Tumekuchokaaaaaaa waache wadada wapumueeee
 
Unapanga appointment na demu mkutane bar flani. Then unafika unampigia aje ushafika. Then anasema poa nakuja. Unamsubiri ila unaomba mungu aje peke yake kwa kuwa unahisi anaweza akaja na rafiki yake. Ghafla unaona mademu watatu wanaingia unaomba wasiwe hao. Ghafla moja anainua simu unahisi denja unaweka vibration. Ghafla simu yako inalia unagundua ndo mwenyewe kaja na mipakashume yenzake miwili. Shenzy taipu! Unazima simu then unanyanyuka taratibu unasepa kimyakimya.

HIvi mimi nilikuita hapa hii ni date. Date ni ya watu wawili tu kufahamiana. Unanletea mipakashume ukoo mzima nimekuambia kuna bethidei hapa? Shwaini...! Au unataka niwagegede wote?
Mbaya zaidi wakishakaa utakuta hao rafiki zake wanazuga kuagiza soda "ooh nletee fanta" then mwenyeji wao kimbelembele "aah acheni hizo.. shosti unakunywa soda tangu lini kunywa bia". Pambaff. Hivi wewe ndo unaelipa bili?
Hivi hamuangaliagi muvi za ulaya mkajifunza date zinakuwaje mbona mnajidhalilisha nyie madada?
Na ntawakimbia niwaachie bili au niwaachie notifeki mkajifunze segerea huko. Nyambafff...

Mungu hapendi, ndio maana hukufanikiwa kwenye miplan yako.
 
Dogo upo kale kastage unapenda nyapu mjini na huna pesa kila siku kulalamika humu
Tumekuchokaaaaaaa waache wadada wapumueeee

We kumbe pu.ss.y whipped. Pesa kitu gani? Nilishasema na drive benz ml 520. Hata nikiwa na million 10 kwenye buti. Kuna tabia zinaniboa.
 
Pole sana kama yalishakukuta, yapo sana hasa mijini, lakini ni rahisi kuhendle, tuwe watulivu na wawazi.
 
Hii ni kweli, hasa videmu njaa vya chuo e.g UHASIBU SINGIDA!! mfano hai!!!!!!!!!!! Leo Ijumaa Kuu, situkani, nisijepigwa BAN la moja kwa moja toka Mbinguni. Eeeh MUNGU washibishe wenye njaa!
 
that is sooo immature, ungeongea nae hata kwenye msg kwamba hauko vizuri kuliko kukimbia,
 
Nimeshasema niko vizuri tena nna maboksi ya hela kwenye buti. Unajua kwa sisi watoto wa mabalozi tuliokulia ulaya hii mitabia ya kishenzi ya kiswahili inakera mno. Disguisting. Ndo maana kuna watu wanafananisha midemu ya kiafrika na apes(nyani).
 
For sure kuna baadhi ya wanaume tuko makini sana tunamsoma mwanamke from the first day,kama umezoea maisha ya kuchuna mabuzi tutajua tu...,kama unatabia ya kuongozwa na mob psychology(mburula) ntajua tu nayo....kama uko miss independent and intelligent itajulikana tu nayo!!So every step u move ndo itakuwa tabia ya maisha yko na ukiwa na chronic ya tabia za kish.e.nzi kama mwanamke ndo kbsaa utashangaa miaka inakupita hutangaziwi hata ndoa au utazaa na kila bwana kuanzia wa watu hadi wasela!!So smtymes mwanamke kuolewa depends on her intelligence

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Unapanga appointment na demu mkutane bar flani. Then unafika unampigia aje ushafika. Then anasema poa nakuja. Unamsubiri ila unaomba mungu aje peke yake kwa kuwa unahisi anaweza akaja na rafiki yake. Ghafla unaona mademu watatu wanaingia unaomba wasiwe hao. Ghafla moja anainua simu unahisi denja unaweka vibration. Ghafla simu yako inalia unagundua ndo mwenyewe kaja na mipakashume yenzake miwili. Shenzy taipu! Unazima simu then unanyanyuka taratibu unasepa kimyakimya.

HIvi mimi nilikuita hapa hii ni date. Date ni ya watu wawili tu kufahamiana. Unanletea mipakashume ukoo mzima nimekuambia kuna bethidei hapa? Shwaini...! Au unataka niwagegede wote?
Mbaya zaidi wakishakaa utakuta hao rafiki zake wanazuga kuagiza soda "ooh nletee fanta" then mwenyeji wao kimbelembele "aah acheni hizo.. shosti unakunywa soda tangu lini kunywa bia". Pambaff. Hivi wewe ndo unaelipa bili?
Hivi hamuangaliagi muvi za ulaya mkajifunza date zinakuwaje mbona mnajidhalilisha nyie madada?
Na ntawakimbia niwaachie bili au niwaachie notifeki mkajifunze segerea huko. Nyambafff...

Tangu lini mapenzi ya kweli huanzia baa??? Ukiona hivyo wote mwanamke na mwanaume ni makahaba by nature.......
 
Unapanga appointment na demu mkutane bar flani. Then unafika unampigia aje ushafika. Then anasema poa nakuja. Unamsubiri ila unaomba mungu aje peke yake kwa kuwa unahisi anaweza akaja na rafiki yake. Ghafla unaona mademu watatu wanaingia unaomba wasiwe hao. Ghafla moja anainua simu unahisi denja unaweka vibration. Ghafla simu yako inalia unagundua ndo mwenyewe kaja na mipakashume yenzake miwili. Shenzy taipu! Unazima simu then unanyanyuka taratibu unasepa kimyakimya.

HIvi mimi nilikuita hapa hii ni date. Date ni ya watu wawili tu kufahamiana. Unanletea mipakashume ukoo mzima nimekuambia kuna bethidei hapa? Shwaini...! Au unataka niwagegede wote?
Mbaya zaidi wakishakaa utakuta hao rafiki zake wanazuga kuagiza soda "ooh nletee fanta" then mwenyeji wao kimbelembele "aah acheni hizo.. shosti unakunywa soda tangu lini kunywa bia". Pambaff. Hivi wewe ndo unaelipa bili?
Hivi hamuangaliagi muvi za ulaya mkajifunza date zinakuwaje mbona mnajidhalilisha nyie madada?
Na ntawakimbia niwaachie bili au niwaachie notifeki mkajifunze segerea huko. Nyambafff...
Hilo la kuweka silent na kuzima umetudanganya... We sema tu walikaa na wakala vya mjinga, kwani wajinga ndio waliwao...
 
Back
Top Bottom