Naunga mkono hoja kwa 100%, uliyosema yote ni ukweli mtupu bila Ben Saanane kuonyesha ujasiri wa kuweka mambo hadharani, isingekuwa rahsi hawa pandikizi wa CCM kufukuzwa ndani ya CDM, na mbele ya safari wangeleta madhara makubwa naamini hata wale ambao bado wapo CDM wamepata somo zuri la aidha...
I'm sure they cannot dare to do it! and if they reach that wicked decisions watakuwa wanajitakia matatizo makubwa kama madhara ya maamuzi yao yasiyo na mantiki yanayoelemea kwenye ushabiki wa kivyama.
Ni jambo la kusikitisha kwa Anna Makinda na Ndugai kujifanya kwamba hawajui kuwa wanaminya demokrasia bungeni, wao wanadhani wanaitetea/kuijenga CCM lakini kumbe ni kinyume na mtazamo wa jamii kwa zama tulizo nazo wananchi wanaelewa ukweli wa mambo kwa hiyo badala ya kujenga wao wanazidi...
Hii yote ni matokeo ya Rais dhaifu na serikali nzima kwa ujumla, walikuwa na uwezo wa kudhibiti lakini wakaendelea kupalilia na haya ndo matunda yake. very sad for sure!
Bwana Molemo umefanya analysis nzuri sana kwa nia nzuri ya kuimarisha CDM, nadhani wajumbe wa kamati kuu pamoja na uongozi wa juu wa CDM wanapaswa kutoa mwongozo juu ya jambo hili kwani kudharau au kupuuza jambo hili la kila mtu kutangaza nia ya kuutaka urais itaondoa umoja ambao ndio umekuwa...
Kwa jinsi mchakato mzima wa kuwasilisha mswaada jinsi ilivyokuwa ilikuwa ni lazima upite kwa kutumia wingi wa wabunge wa ccm, so hapa mimi sioni pointi ya Pasco kama ingeweza kufanya kazi, kutokana na uhalisia wa mazingira ya bunge la JMT ambalo linahodhiwa na CCM, wanachotakiwa CDM ni kuja na...
Mimi naunga mkono hoja ila nawaomba CUF wakienda mwanza wajipange vizuri kunadi sera zao na sio kuanza kuipaka matope CDM, kwasababu igunga Hamad Rashidi alianza kuirushia madongo CDM, that is not good strategy for winning confidence from the public people are more interested on solutions to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.