Recent content by shamna

  1. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza uwanja ndege wa JNIA, Dar. Akuta mashine mbovu...

    Anataka asikike Kama diamond
  2. S

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada, Shule ya msingi kigogo iko wapi?

    Thanks much mkuu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada, Shule ya msingi kigogo iko wapi?

    Sipo dar ndo maana nauliza
  4. S

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada, Shule ya msingi kigogo iko wapi?

    Wakuu msaada tutani,naomba kujuzwa shule ya msingi kigogo(Dar es salaam), ipo wilaya gani, kata, tarafa, kijiji na mtaa. Ahsanteni
  5. S

    JamiiForums Tanzania Idris Sultan awa mtangazaji Choice FM

    Kuendesha kampuni sio mchezo
  6. S

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla azifungia hospitali mbili za kigeni

    Hongera sana Dr Kingwalala,ingetakiwa mawaziri wote wawe watumbuaji majipu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, shirikisha wabunge wa upinzani ndio vita hii utashinda

    Usijali mkuu Magufuli atahamia ukawa
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kwa kigezo cha umri huu naweza kujiunga JKT?

    Elimu yangu ,bachelor degree. Umri miaka 31. Wakuu uwezekano upo?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kero ya umeme Tegeta

    Huku upande wa Mwenge hadi Tegeta kumekuwa na zoezi la kukata umeme, naomba TANESCO waweke wazi kama ni mgao, maana kila Jumatatu, Jumatano,Ijumaa wanakataa umeme, sasa kama ni mgao si watangaze tu kuliko kukata na kurudisha umeme.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Wanaoweka matangazo ya kutafuta Kazi

    Good point
  11. S

    JamiiForums Tanzania Hatari: CCM kupita bila kupingwa. CHADEMA,CUF,NCRR wote wachukue fomu wataachiana mbele ya safari

    Hiyo ni kweli,babati vijijini kumpata mgombea wa chadema kwa udiwani ilikuwa mizengwe,ccm walihonga wapiga kura ili apite mtu ambaye hapendwi na anayependwa kawa wa pili imebidi watu wamwambie hawakubali muungano wa UKAWA achukue fomu ya nccr mageuzi ili yule wa chadema aliyepita kwa mizengwe...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Big Brother yampongeza Idris Sultan kwa kuzindua mobile game zake mbili binafsi

    Ya kidoti iliishia wapi,halafu ni game moja na ile ya kidoti,kupata wafuasi wa kucheza ni ngumu mno,heri asingeweka sura zake
  13. S

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo aombwa kugombea urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo

    Hao nao wanataka urais,ila nashukuru kunipatia kichekesho cha jumatatu
  14. S

    JamiiForums Tanzania GE2015 Nape: Mbowe aiuza rasmi CHADEMA kwa Lowassa

    Hiyo ni habari au taarabu,nani hamjui nape kwa taarabu zake kama hadija kopa,kama chama imeuzwa angeleta facts mpaka money transfer
  15. S

    JamiiForums Tanzania GE2015 Prof. Peter Mohamed Msolla: CCM itatawala, kuanguka labda miaka 50 ijayo

    Kwa mahaba aliyo nayo mpaka anaacha kuzungunza facts,elimu haimsaidii
Back
Top Bottom