Elections 2015 Prof. Peter Mohamed Msolla: CCM itatawala, kuanguka labda miaka 50 ijayo

ebaeban

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,032
2,000


Akichangia hoja Fulani professor huyu aliwahi kusema CCM itatawala weweee, kuanguka ni labda baada ya miaka 50,na hii ilikuwa kauri yake katika bunge lililopita, nakumbuka nilimwonya kwa kauri hiyo nilimweleza kuwa huko kujiamini kwao kusivuke mpaka cos dramatic changes do happen, nikampa na mfano wa Meridian biao bank ilivyofungwa ni wateja asubuhi walikuta tu bank imefungwa kwa sababu imefirisika.

Pia nilimpa mfano wa mdogo wake Dr. Hamza Suleman Msolla naye akiwa ni Human resources Manager wa AMREF Tanzania alikuwa anajiamini atakuwa na cheo hicho hadi miaka 7 ijayo ni asubuhi moja tu alikuta barua mezani kwamba kazi hakuna sasa hivi anasaga unga na kuuza maji Tabata kimanga.

Sasa jana Prof. Peter Msolla kaangukia pua kura za maoni jimbo la Kilolo, pia CCM yake inafurushwa kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Octber 25.

Prof take my words.
 

Ozzie

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
3,223
1,225
Alikuwa ana mtoto mmoja ambaye alikuwa akisomea degree ya udaktari wa meno miaka ya 2008/09 hapo Muhimbili. Dada yule Eliza alikuwa hajaumbika, lakini Mungu hakumsahau akamjalia nyodo... Mtoto wa waziri wa Sayansi na Teknolojia tena!!!
 

MTK

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
8,261
2,000
Ukweli ni kwamba sio kwamba huwa hawalijui hilo; bali ni kujitoa akili kwa sababu MaCCM yote yamekuwa machumia tumbo; kutetea maslahi binafsi na kumfurahisha mswahili.
 

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
93,411
2,000
Huyo profesa kweli alilewa madaraka na ulevi huo ndio uliomkosesha hiyo nafasi kwani wananchi hawadanganyiki tena
 

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
93,411
2,000
Ukweli ni kwamba sio kwamba huwa hawalijui hilo; bali ni kujitoa akili kwa sababu MaCCM yote yamekuwa machumia tumbo; kutetea maslahi binafsi na kumfurahisha mswahili!
Mkuu huyo mswahili huwa hana heko
 
  • Thanks
Reactions: MTK

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
93,411
2,000
Alikuwa ana mtoto mmoja ambaye alikuwa akisomea degree ya udaktari wa meno miaka ya 2008/09 hapo Muhimbili. Dada yule Eliza alikuwa hajaumbika, lakini Mungu hakumsahau akamjalia nyodo... Mtoto wa waziri wa Sayansi na Teknolojia tena!!!
Alikuwa na sura kama kifuu
 

MTK

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
8,261
2,000
Ndio maana wakaitwa waswahili! tafiti zinaonyesha kwamba waswahili huwa hawapati wala kufa kwa "shinikizo la damu" kwa sababu they are never serious about anything; Anything! akikwambia hili ana maana ya lile na kuchekacheka kwingi na mipasho kibao tu! 2005 - 2015; ni A decade to delete and forget in the history of our mother Tanzania!

Mkuu huyo mswahili huwa hana heko
 

izzo

JF-Expert Member
May 31, 2015
2,817
2,000
kauli kama hz ndo znanifanya niamin kuwa tanzania hakuna wasomi kuna mabingwa wa kukariri na kujipendekeza tofauti yao ni wanakariri vitabu vya mzungu na wale watoto wadogo ambao ingekuwa ni shule basi na wangekuwa maprof wanakariri vitabu vya mungu leo kuna ma Dr na maprof kibao bt changamoto ni zile zile tangu 2napata uhuru wazungu walipotuacha na wasomi 10 watatu kati yao ni wahindi wenye uraia wa tanganyika leo huyu prof aoni mafuriko leo watu wanaona aibu kujitambulisha kama wao ni ccm jana kada mwenzao wa ccm amepelekwa police na jamaa mmoja kwa kumwita ww ccm mwenzangu jamaa kampeleka police na kumfungulia kesi ya kumdhalilisha na kumtolea maneno ya kuhuzi kisa kamwita ww ccm mwenzangu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom