Naomba Msaada, Shule ya msingi kigogo iko wapi?

shamna

Member
Aug 2, 2015
37
19
Wakuu msaada tutani,naomba kujuzwa shule ya msingi kigogo(Dar es salaam), ipo wilaya gani, kata, tarafa, kijiji na mtaa.

Ahsanteni
 
Anzia ilala kamata road ya kigogo hadi hapo ccm...ulizia kigogo hata mtoto mchanga atakupa info
 
sio vzr kumpotosha mwenzio. mimi naishi kigogo nipo jirani na hiyo shule. ipo kata ya Kigogo, tarafa ya Magomeni,wilaya ya Kinondoni.
Hahahaa tarafa ya magomeni unachekesha kweli. Angalia vizuri kumbukumbu zako.
 
Back
Top Bottom