Recent content by Shame Wakitaa

  1. Shame Wakitaa

    Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

    Umebakia wapi sasa najua jicho kuna sehemu limeamia
  2. Shame Wakitaa

    Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma: Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) ni Taasisi ya Umma

    Hivi mahakamani inaweza kusimama kesi bila wakili
  3. Shame Wakitaa

    Naomba msaada wa kufuta message ya WhatsApp

    Update hiyo whatsapp kwanza
  4. Shame Wakitaa

    Hamisi sio jina la kiislam bali ni mtu aliyezaliwa Alhamisi

    Mtoa mada acha uongo mbona Mimi sikuzaliwa siku ya alhamis
  5. Shame Wakitaa

    Nakaa nao Ukonga, ni jirani yangu yupi hapa kaharibu picha ?

    Ungewapiga full sio passport size tungepata jibu sahihi
  6. Shame Wakitaa

    Hotuba ya Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli katika Bunge la Afrika Mashariki (EALA)

    Uzuri wa hotuba za Rais wetu asome hapo utamuelewa ila akitoa kichwan Cv zinashuka
  7. Shame Wakitaa

    Natafuta kazi kwa ajili yangu na pacha wangu

    Kazi za ndani mnaweza ila Mshahara si zaid ya elf 70
  8. Shame Wakitaa

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Je!? Kuna uwezekano wa kufungiwa meter 2 za luku katika Nyumba 1 Maana tuko wapangaji wawili mmoja kachukua nyumba Kubwa mwengne banda la uwani
  9. Shame Wakitaa

    Naangalia hapa sinema ya Yesu kwa jicho la kigreat thinker; nimeielewa tofauti kabisa leo

    Aisee niongeze na mimi mana pia nimekuelewa vizur Ila naona kuna baadhi ya watumishi wa Mungu wanashindwa kuelezea uhalisia zaidi wa huyu mtu na Yesu
  10. Shame Wakitaa

    Zunguka Tanzania nzima ukipata mwanamke mrembo kumzidi huyu nidai milioni

    Umepotea ndugu sasa huyo ni mtanzania Kuna watu wana umri zaid ya miaka 50 huyo Zari wako aingii
  11. Shame Wakitaa

    NITAJUWAJE KAMA MPENZI WANGU AMEKEKETWA AU AJAKEKETWA!? NA NI NINI FAIDA/HASARA ZA KUWA NA MAHUSIANO NA MWANAMKE HUYU

    Habari zenu wanajamvi, naomba msaada wenu ili nitambua kuhusu ili jambo
Back
Top Bottom