Hotuba ya Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli katika Bunge la Afrika Mashariki (EALA)

Hivi huyu hawezi kuhutubia popote bila kutaja Stieglers gorge,ndege na reli!
Ethiopia wamefanya mara mia moja ya hayo lakini huwasikii kila siku kuzungumzia bwabwa lao ,reli yao ya umeme,na ndege SABINI NA SITA walizonazo.
Ushamba mzigo
Kwa hiyo vyote walifanya Kwa muda gani?
Imewachukua miaka mingapi kuwa na ndege 76?
Tumia akili kufikiri sio makalio!
 
Back
Top Bottom