Recent content by SHAIDI

  1. SHAIDI

    JamiiForums Tanzania Serikali yataka Watanzania kumpuuza Profesa Assad kuwa 60% ya Viongozi wa Umma nchini hawana uwezo

    Asad asipuuzwe Nasema tena asipuuzwe
  2. SHAIDI

    JamiiForums Tanzania Leo nimetimiza miaka 30, sijawahi miliki hata Godoro

    Ww si senior member jf!! Una godoro? Jf angalie hivyo vyeo vyenu mnanyotoa
  3. SHAIDI

    JamiiForums Tanzania Picha Gari Hammer H1 Military Heavy Machine

    Tuombe lisije kuzima kwenye mataa na camera ziko on( live) itakuwa aibu kwa taifa kama aibu za mkalimani wetu pendwa.
  4. SHAIDI

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Kwani Kigogo kasemaje? Bado ajatoa tamko?? Huyu ndiyo chanzo changu cha Habari Tofauti na hapo hakuna anaejua nini kinaendelea Au nasema uongo ndugu zangu!!!! Watanzania mniombee
  5. SHAIDI

    JamiiForums Tanzania Mwenye kuomba basi atapewa. Leo nawaomba connection ya eneo zuri la biashara

    Me Dom mkuu' kwa uandikaji huo ni ngumu kusaidiwa jifunze kuwa mnyenyekevu hasa unapoomba msaada, ushauri tu.
  6. SHAIDI

    JamiiForums Tanzania Ushoga: Kanisa Katoliki lakataa kuubariki

    Ni w ao ni wao Ila kanisa bado ni mahali pa takatifu
  7. SHAIDI

    JamiiForums Tanzania SUMATRA idhibiti nauli ya usafiri barabara ya Makete, Wananchi tunaumizwa

    Km 130 kutoka wapi kwenda wapi? Andika vzr usikulupuke tu
  8. SHAIDI

    JamiiForums Tanzania Sababu zinazofanya wanatajirisha wengine wao wanabakia masikini

    Bro naona umeamua kutengeneza ubishi usio na tija Kama unashindwa kuelewa kuwa mke na watoto wako ni sehemu ya mali yako aupaswai kuendelea kubishana
  9. SHAIDI

    JamiiForums Tanzania Yamenikuta China naiona jela inaniita, nisaidieni mwenzenu ninusurike

    Ngoswe penzi Kitovu cha uzembe
  10. SHAIDI

    JamiiForums Tanzania Visa na mikasa mbalimbali vya jamaa zangu hawa wachimbaji, leo tulikuwa tunapiga ma'story daah! Wanaume tunapitia mengi sana

    Daaa bora ww umesema kuwa ni rafiki zako, Tuna dada mmoja kazini kwetu kila stori ikianzishwa yeye ilishai kumtokea alipokuwa Tanga
  11. SHAIDI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Warembo wangu, upo tayari kufunga ndoa bila sherehe?

    Simple like that
  12. SHAIDI

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?

    Yaani ww unaota asubuhi? Uwezo , elimu, ukomavu, ufanisi na weledi wa kijazi waufananisha na Makondakta Kwa kufikiri wako kwa dhibitisha kweli ccm aitufai
  13. SHAIDI

    JamiiForums Tanzania Manyanyaso ya TRA kwa wafanyabiashara wa Mbao

    Tra sio watu friendly, ni jitu linalotisha sana jitu hilo alijari hisia za watu japo wakati fulani sisi watanzania ni watu wajanja wajanja sana so wanafahamu hilo ndy maana wanatumia nguvu nyingi
Back
Top Bottom