Recent content by shabba 7

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Hiv jaman wale baba kanituma vip washaondoka tayar au bado
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    hiv ni mda gan wale baba kanituma huwa wanaingia
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    ni vitu gan mpaka vinapelekea mpaka unaambiwa kiandika maelezo
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    majina yamebandikwa kwan
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    hiv kuna kitu nataka mnieleweshe kidogo kwa hanae elewa kuna wale ambao wanaingia kwa form maalum bila hata usaili wanachukua mda gan kuingia kambin wanafika na wale waliosailiwa kwa wakati mmoja au?na hizo form huwa zinatoka na kwa watu gan
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    jibun kama mnauelewa basi au humu watoto wengi nn mnakurupukia tu kujibu kwa sifa
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    we jibu kama mtu hanaejielewa basi mbona hunakua kama mtoto au ndio tukuone mjanja hunajua kuandika nn acha ujinga ukiona huwez kujibu acha sio unadhiirisha akili zako fyatu mbele za watu
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

  9. S

    hiv kuna mda mnaachiwa kwenda hata mjin hiv kununua vitu
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    hiv ni lazima kwenda na tranka au hunaweza kwenda na begi tu
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    sio kujifanya mjuaji tuongee tu kwa fact ni intake gan au operation gan maana wengine humu mmekalili ivyo walijinunulia mashuka na picshort ?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    duh kuna watu wabish wanaambiwa hali halis ya uchumi sio mzur bado tu amkubali ni intake gan ambayo iliambiwa iende na bukta sijui shuka nk,kama sio hii na bado mara utasikia na hela ya chakula mje nayo
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    hiv na posho huwa ni sh ngp
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    yaan hinamaana kila kitu ni nyie wenyewe ni kuwafundisha tu na kuwalaza na kuwalisha basi na sidhan hata safar hii kutakua na mda wa kukaa kuwa service ndio kumaliza mafunzo na kusepa kwa mwenendo huu
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    na hiv kuna mda mtapata wa kurelax kwa kucheza mpira hiv au
Back
Top Bottom