Panneta
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 322
- 233
Majeshi sana hii, tutakutana mbele ya safari Bob...... Mafinga hii!!!824 kanembwa
Majeshi sana hii, tutakutana mbele ya safari Bob...... Mafinga hii!!!824 kanembwa
Pamoja sana mkuuMajeshi sana hii, tutakutana mbele ya safari Bob...... Mafinga hii!!!
Twenzetu Jkt wewe tukasepe na kijiji kwanza !!!Kwa hiyo mkuu hao mainjia hawatopitia jkt au ???
Na vepe utaratibu umeshabadilika kuhusu hizi professional mbili dakari na enjinia????
Daaaaaaah mkuu umenikumbusha hako ka nyimbo ilikua ntu uko radhi uende hata kwa vichura au uende root lkn co kuimba hako ka wimboApu apu apu apu apu apu apu apu apu apu apu apu apu apu ni mwendo wa kunyakua tu maninja angu
We unaejiita afande nyati ndo yule servic man wa mafinga jkt pale au?????Wazi mkuu. Hizi ni tabia za Kiafrika.. Ndio maana Trump hatupendi
Kabisa mkuuJeshi n shida ukiwepo ila me cahv nipo home kuna vitu navikumbuka na nataman nipate nafasi tena niende nikajenge mwili uqe fresh tena....... Daaaaah zile chenja mabio mixer utani wa maafande ucpomic jeshi we mgonjwa
824 kanembwa
Jamaa mmoja wa Kigoma aliwahi kutuambia "kurutu mnanuka kurutu"!!Jeshi n shida ukiwepo ila me cahv nipo home kuna vitu navikumbuka na nataman nipate nafasi tena niende nikajenge mwili uqe fresh tena....... Daaaaah zile chenja mabio mixer utani wa maafande ucpomic jeshi we mgonjwa
Duuuuu aiseeeJamaa mmoja wa Kigoma aliwahi kutuambia "kurutu mnanuka kurutu"!!
"Kurutu kwa nini wachafu kurutu"!!!!!!
"Kurutu mnafuta mimba sio??"
Halafu anatuamrisha wote tuitikie et "tunatafuta mimba afandeeeeeeeeeee!!!!"
Akaangushia kwa kusema "kurutu mnakatwa kurutuuuuuu" khaaaa
Nikikumbuka huwa nacheka sana bila kujali mahali nilipo kwa wakat huo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
JESHI RAHA SANA, maumivu ya masaa 3 unayasikilizia kwa dakika 5 tu mindi ishawaka kivingine
usahili wa mwaka huu waliongeza na ma technologist kama Laboratory technologist na ArchitectKama daktari na engineer sawa ila hzo nyingine sahau nenda jakata tuu
Form za nnACHENI kuwapa homa za kipuuzi wenzenu...mnaosubiri form mimi nina HAKIKA zipo kwahyo subiri kuanzia tar 17 mwez wa 12 mtaanza kupata na mtaingia kuanzia 25 ....by moto wa maji mwenyekiti wa huu uzi
Kama una form unatakiwa kufika kabla ya wao maana kuna usaili tena kwa nyie baba kanitumahiv kuna kitu nataka mnieleweshe kidogo kwa hanae elewa kuna wale ambao wanaingia kwa form maalum bila hata usaili wanachukua mda gan kuingia kambin wanafika na wale waliosailiwa kwa wakati mmoja au?na hizo form huwa zinatoka na kwa watu gan
BABA kantumaForm za nn
Acha uongo hawaingii kabla,wale watakaopewa form/baba kantuma wanaingia baada ya wale waliofanyiwa usaili mikoaniKama una form unatakiwa kufika kabla ya wao maana kuna usaili tena kwa nyie baba kanituma