Ghulaam
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 1,868
- 1,495
Nakucheck inbox mkuuKaribu mkuu
Nakucheck inbox mkuuKaribu mkuu
Unaitwa nani???Tupo Malamba 838 kj
Ndio nasikia jumanne next week wanakiwasha wanafungua koziHiv jaman wale baba kanituma vip washaondoka tayar au bado
maana nina Jamaa angu yupo kwenye hilo KUNDI ananiambia AMEAMBIWA ASUBIRI,ataondoka tu...naomba kuuliza...HIVI KUNA BABA KANITUMA AMBAYE BADO YUPO MTAANI?,au wote washa ripoti vikosini?...
Ndomana mwenye mtandao huu anakes mahakaman mambo ya kijeshi mnayaleta mtandaon ili iweje?
Acha ushambaNdomana mwenye mtandao huu anakes mahakaman mambo ya kijeshi mnayaleta mtandaon ili iweje?
Dah hii taharifa nami nimehisikia kutoka kwa mibuyu kazaa but tusubiri taharifa rasmi hii ni kama ronja tu Mkuu!!Jaman, nasikia usaili wa JKT,mwakani, ni February, 2017,Je!!hizi taarifa ni za ukweli,maana nimezisikia wanajamii naombeni ufafanuzi juu ya hili,na inasisitiziwa kuwa nafasi zinatoka mapema kwa sababu ya makambi mapya ambayo hapana watu.
daah itakua poa sana kama usaili ikiwa February.Dah hii taharifa nami nimehisikia kutoka kwa mibuyu kazaa but tusubiri taharifa rasmi hii ni kama ronja tu Mkuu!!
Itapendeza sanaa, kiukweli,tuwe karbu na vyombo vya habari,any thing can happen,Dah hii taharifa nami nimehisikia kutoka kwa mibuyu kazaa but tusubiri taharifa rasmi hii ni kama ronja tu Mkuu!!
Then kuwa kitu kingineNapenda kuwa soja ila naona so
Napenda kuwa soja ila naona so
Soo tena mkuu?Napenda kuwa soja ila naona so
Hahahaha kapiga pesa yakoKama kuna mtu anaweza kunipeleka jeshi anicheki inbox daah nataman kuwa mjeshi ila kila nikijalibu usahili nachinjiwa ndani daah inauma na juzi kunamjinga kapiga hela yangu mpaka leo hapatikani msaada plz tufikie malengo