Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

KWA WALE WENZANGU WA DAR TO 842 KJ MLALE SONGEA

KUTOKA DAR TO SONGEA NI TAKRIBANI MASAA KUMI NA NNE (14).UKITOKA UBUNGO SAA KUMI NA MBILI ALFAJIRI (12) UTAFIKA SAA NNE (4) USIKU SONGEA NA SIKU YA KURIPOT KAMA ILIVYOTANGAZWA TAREHE MOJA.

SWALI JE WATQLALA SONGEA MJINI NA KESHO YAKE NDIO WARIPOT TAREHE 2 AU UNAFIKIRI UTATUMIKA UTARATIBU GANI ILI KUWEZA WOTE KUFIKA KATIKA WAKATI SAHIHI?
Acha uoga mzalendo ! Ngoja nikupe lonja ! "We toka tarehe 7 December home! Unafika songea tar 8 ! Wazi ?! Pale mjini unakula bata mpaka tar 10 then ! Only then ndo unatinga mlale kwenyewe"! Wakati huo wazalendo wenzako makalio yameshalika kwa kukaa chini na kuimba ayiyolele amba ! Wazi ?!
Ukiwahi utajila mzalendo chelewa ukute kambi imeshapendeza kwa kumulikwa na vipara vya wazalendo waziii ?!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Aiyolelaaa ambaaaaaaa
Aiyolelaaaa ambaaaaaa

Mola twaomba, twaoooomba tufike salama. Qudadeeeq hapo sisimizi wanang'ata kunako mawio unawaza mda wa kulala au kula ufike[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Budget imebana wataenda wachache [emoji1][emoji1]
Baba jeska analinyoosha jeshi ! [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hakya mungu kozi itakuwa ngumu hii! Yaani molari kubwa huja kutokana na posho leo hii posho hakuna! ***** watatoroka wengi !
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Aiyolelaaa ambaaaaaaa
Aiyolelaaaa ambaaaaaa

Mola twaomba, twaoooomba tufike salama. Qudadeeeq hapo sisimizi wanang'ata kunako mawio unawaza mda wa kulala au kula ufike[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anakuja afande wa kombania nyingine anasema "kurutu mmekuja kuimba hapa ?! " watu hapana afandeeeee! Afande anaendelea..! "OK ok basi kurutu kunja ngumi ! Mara beba dunia ! Mara Mbebane! ***** kurutu nnasumu mbayaaaaaa ntakuuuaaaaa !
 
Boss hili Tangazo Mbona Halipo Kwenye Website ya hawa Jamaa?!!

Screenshot_19.png
 
yaan hinamaana kila kitu ni nyie wenyewe ni kuwafundisha tu na kuwalaza na kuwalisha basi na sidhan hata safar hii kutakua na mda wa kukaa kuwa service ndio kumaliza mafunzo na kusepa kwa mwenendo huu
Mwanangu umeona mbali hapa kuna kitu sio bure ngoja waende hali hii inatia shaka kbsa kwa wale wanaotegemea ajira huko mambo yanaweza kua tofauti sana
 
yaan hinamaana kila kitu ni nyie wenyewe ni kuwafundisha tu na kuwalaza na kuwalisha basi na sidhan hata safar hii kutakua na mda wa kukaa kuwa service ndio kumaliza mafunzo na kusepa kwa mwenendo huu
Acha kujifanya unajua tathimini kijana,tathimini fanya kwenye mpira huku sio mahala pake,huku ni facts tuu...vijana wana mikataba yao wake up boy
 
duh kuna watu wabish wanaambiwa hali halis ya uchumi sio mzur bado tu amkubali ni intake gan ambayo iliambiwa iende na bukta sijui shuka nk,kama sio hii na bado mara utasikia na hela ya chakula mje nayo
 
Mikataba itakusaidia nn mkuu, mbona kama ni mikataba tumesain na imeanza kuanzia mwezi wa saba mbona haikusaidia chochote mkuu...... Hawa jamaa wana uwezo wa kufanya chochote we endelea kukomaa na mikataba
Jeshi. Haliajiri linaandikisha
 
duh kuna watu wabish wanaambiwa hali halis ya uchumi sio mzur bado tu amkubali ni intake gan ambayo iliambiwa iende na bukta sijui shuka nk,kama sio hii na bado mara utasikia na hela ya chakula mje nayo

JKT HUA HAKUNA INTAKE..KUNA OPARESHENI,ACHA KUPEPESA USICHOJUA.
 
duh kuna watu wabish wanaambiwa hali halis ya uchumi sio mzur bado tu amkubali ni intake gan ambayo iliambiwa iende na bukta sijui shuka nk,kama sio hii na bado mara utasikia na hela ya chakula mje nayo

Mbona wale wanaochaguliwa kupiga kozi ya polisi au magereza huwa baadhi ya vitu wanajinunulia!?

Acha kujifanya mjuaji hapa na kuwakatisha tamaa vijana.
 
Back
Top Bottom