Mgambo hao wanakalili[emoji23] [emoji23] [emoji23]JKT HUA HAKUNA INTAKE..KUNA OPARESHENI,ACHA KUPEPESA USICHOJUA.
Shona nunua kitambaaa shonaOya eti hvyo vibukta vyenye mfuko kwa nyuma ntazpatia wapi wakuu
Endelea kukariri hvyohvyo nenda kajifunzeIntake ya 101...!! Au jeshi la sungusungu
Acha mteruMikataba itakusaidia nn mkuu, mbona kama ni mikataba tumesain na imeanza kuanzia mwezi wa saba mbona haikusaidia chochote mkuu...... Hawa jamaa wana uwezo wa kufanya chochote we endelea kukomaa na mikataba
Kwa harakaharaka sidhani kama kuna OP iliyowahi kujinunulia PT dress, shuka, chandarua etcsio kujifanya mjuaji tuongee tu kwa fact ni intake gan au operation gan maana wengine humu mmekalili ivyo walijinunulia mashuka na picshort ?
Nenda kajifunze nawewe usiwe unapokea poshoKule unafata posho au kujifunza uzalendo na mengineyo?
Pongezi kwako mwenye mshahara wa miayo[emoji81] [emoji81] [emoji81]Nenda kajifunze nawewe usiwe unapokea posho
Ndo mshahara gani huo?Pongezi kwako mwenye mshahara wa miayo[emoji81] [emoji81] [emoji81]
Nenda watakuelewesha hukohukoNdo mshahara gani huo?
Mkuu mbona povuu,....ile sio ajiraNenda kajifunze nawewe usiwe unapokea posho
Najua ni kujitoleaMkuu mbona povuu,....ile sio ajira
Acha kukariri vitu haviko static kubadirika wakati wowote.Kwa harakaharaka sidhani kama kuna OP iliyowahi kujinunulia PT dress, shuka, chandarua etc
Ila hata mimi nashangaa awamu hii nimeona tangazo kua wanaokwenda kuripoti wanatakiwa kuripoti na hivyo vitu
Aliyekariri nani sasa au nimekosea kusema experience yanguAcha kukariri vitu haviko static kubadirika wakati wowote.
Nina experience ya hiyo jkt pengine kukuzidi na hunidanganyi kuanzia life ya jkt na jeshi kwa ujumla.Mkuu mbona povuu,....ile sio ajira