EDGAR JUNIOR JR
Member
- Nov 27, 2016
- 8
- 5
uyo wa makuyuni yuko alone
vp mkubwa,naomba nikuulze, iv hussen nalinga oljoro yupo kama nan??kunyoa nimenyoa tena dungu sio kiduku , commando najikokota kifua mbele kama kuluta mtachukia kukunja ndita oljoro mtanikuta karibuni makuruta
Mp ndomba mnaa kikudaa. Daah mkuu ulipita mwaka ganWale wa ruvu jkt ,kamsalimieni meja msila,CI, co,mbuge ,mp ndomba, ltn chahe,meja maila, nk
Mgimbe saivi ni WOIKuna pte Plato msalimie pia ,sir gema matron msalimie pia ,msalimie chachandu pia ,utamsalimia matonya pia ,utamsalimia captain litanda ,utamsalimia pia Mr RSM mgimbi atilio huyu jamaa ni jembeeee sana RSM making sana kikosi cha ruvu ukweli namkubali sana
Mkuu nilipita opp miaka 50 ya jkt 2013 Enzi hizo alikuwepo marehemu coplo faki ,ukweli ndomba ni noumaa akikukuta kwenye viwanja vya vikwazo anakusingizia ulikuwa kwa ndogo lazima uende main gateMp ndomba mnaa kikudaa. Daah mkuu ulipita mwaka gan
Ww kule hakuna ratiba ya kuoga unaweza kata miezi miwili bila kupiga maji sifa wepesiWakuu Lotion, Detto za kuogea, Colgate tunaruhusiwa kwenda nazo?
Mgimbe noumaaah ukicheza anaweza kukupotezaMgimbe saivi ni WOI
Wewe mnaaaa kichiziiiiBinafsi Nshagulu Buti Yangu Nw Nasubili 2mr Job tuu
![]()
msalimie HITRAAAA NIME MSSSS SANAAA NA MAMBO YAKE YA DAWA BOY BOYwale baba kanituma njooni nami niwatume mje niwape mabio mawio hadi machweo
Bas mmetupokea mkuu maana mimi ni muungano. Nilikua eagle coy kwa sameja shikaMkuu nilipita opp miaka 50 ya jkt 2013 Enzi hizo alikuwepo marehemu coplo faki ,ukweli ndomba ni noumaa akikukuta kwenye viwanja vya vikwazo anakusingizia ulikuwa kwa ndogo lazima uende main gate
Hahaha sisi ndoo tulijenge mhuga messBas mmetupokea mkuu maana mimi ni muungano. Nilikua eagle coy kwa sameja shika
Sisi tumejenga yale mahanga mapya A ciy pale na kule nyuma d coyHahaha sisi ndoo tulijenge mhuga mess
Langu Hilo Uwe Unakuja Home Boy Una Gulu but Langu MremboNimeona buti linang'aa
Tatizo Hawa Madogo Wanaona Jeshi Kama Askari Wa Mgambo ndio Tatizo HiloUmeongea logic mkuu na umetumia uzoefu safi sana
Hakuna ShidaNiaje wana jukwaa samahan naomba kuuliza kwa vigezo vya kuingia jeshini vinavyoonekana yani physical maana nina wasiwasi kwani kidole changu cha mwisho hakinyooki. je hilo linaeza kuwa tatizo na nikashindwa kujiunga na jeshi? Naomba kwa anayefahamu anieleweshe na vitu vingine wanvyo angalia... Mwilini ukiachana na blood test
NB ni ushili wa mwkani au ikitokea baba kantumaView attachment 440564View attachment 440565
Asante mkuu kwa ushuri wakoHakuna Shida
Hilo Swala Dogo Sana
Shida Ipo Ktk Damu
Afu Acha Kujistukizia Ktk kambi
Usije Enda Kila Mtu Unamwambia Swala Lako Kaaa Kimya
Jione Wee ni Wakawaida Tuu
Kuna Dada Anawatoto 2 Huku Mtaani
Nw Ni Polis Na aneingia Tayari Ana watoto Sio Kawapatia Jeshin Hapana
Kawapata Uraian ndio Kaenda Depo
Usiniulize Depo Alipigaje
Ndio Mana Nakwambia Wee Jione Wa
kawaida
Pamoja Sana Bila Shaka Utakuwa unasubir Baba Kantuma weeAsante mkuu kwa ushuri wako