Recent content by shaabani

  1. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Namba ya sim 0629081432. Nimewafuta sana ofsin lakin majib hayaridhishi..
  2. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco Buseresere chato. Nimelipia umeme toka mwezi wa 12 mwaka jana. Transfomer ipo uwanjani kwangu. Kuunganishwa tu imekua shida. Eneo nililopo ni buseresere mapinduzi
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana usijidanganye: Shoo peke yake haitoshi kukufanya usiachwe

    Kwa kifupi sana. Mwanaume hata wakipangana warembo 100. Akaambiwa achague mmoja. Roho itabaki inamuuma kwa kuwaacha hao 99. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. S

    JamiiForums Tanzania DIT yapata pigo kifo cha mkufunzi Stanley Mwakalembe

    RIP.. Polen sana wanafamilia ya Cofamily.. alikua mwalimu wa Idara ya Computer.. tumepata pigo sana hususan Beng 06,07,08 Sent using Jamii Forums mobile app
  5. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hakuna sherehe ya miaka 54 ya Uhuru mwaka huu, Badala yake mkafanye Usafi

    tatizo umeshiba upinzani na kuvimbewa ubishi
  6. S

    JamiiForums Tanzania Niliwaambia kumfunga Algeria haiwezekani

    tumemfunga goli 2,
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa Spika wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    simba mwenda pole ndio mla nyama,, dk. kaleman anaweza kuwa spika
  8. S

    JamiiForums Tanzania Software kwa Ajili ya Pharmacy (Pharmacy Management System)

    Ninauza software kwa ajili ya kuendeshea duka la madawa. Software inafanya yafuatayo:- Hapa naorodhesha baadhi tu Kama kunadawa ndani ya duka zinakaribia kuisha muda wa matumizi Itakupa taarifa. Kuweza kuelewa thamani halisi ya dawa ulizo nazo ndani ya duka. Kama una maduka mawili au zaidi...
  9. S

    JamiiForums Tanzania SQL Server 2012 Msaada Tutani Wadau

    itoe.. halafu uinstall sql server..
  10. S

    JamiiForums Tanzania SQL Server 2012 Msaada Tutani Wadau

    angalia kama .net 4.0 - 4.5 kama umeinstall before. inabid uitoe then install. yenyewe itakua na .net yake ambayo itainstall wakat ukiwa unaintall server
  11. S

    JamiiForums Tanzania Jamhuri: Pinda agongana na bilionea Dar!

    pole sana.. dawa yao nikuwasomea albadr majibu mungu atatoa..
  12. S

    JamiiForums Tanzania Msaada software ya point of sale

    ndio ninayo.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Programming kwa wanaoanza...mawazo yenu!!

    soma c#,vb.net.. kwa c# ni powefully. ukifaham vizuri c sharp java nikama kusukum mlevi....
  14. S

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kupata sponsership ya serikali pale D.I.T

    kuna sponsor za wakina dada. kama wew ni mwanamke kuna kozi utaenda pale utasoma kwa wiki kumi. ukiwa umefaulu unaweza ukapata
Back
Top Bottom