Mwalembe hakuwa department ya mechanical ni alikuwa department ya computerWale waliosoma kwenye chuo hiki watamkumbuka Lecture wa Idara ya Mechanical Mwalimu Stanlaey Mwalembe hasa kwa uwezo wake wa kufundisha na hata uvumbuzi wa machine mbalimbli alikuwa ni tegemeo sana kwenye idara hii ya mechanics.
DIT invents machine for making plastic products
STICLab || Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa anafit idara zote huyu mtu... LabTech, Mechanical, Computer na ElectricalMwalembe hakuwa department ya mechanical ni alikuwa department ya computer