Software kwa Ajili ya Pharmacy (Pharmacy Management System)

shaabani

Member
Jan 25, 2012
64
17
Ninauza software kwa ajili ya kuendeshea duka la madawa.

Software inafanya yafuatayo:- Hapa naorodhesha baadhi tu


Kama kunadawa ndani ya duka zinakaribia kuisha muda wa matumizi Itakupa taarifa.
Kuweza kuelewa thamani halisi ya dawa ulizo nazo ndani ya duka.

Kama una maduka mawili au zaidi. unaweza kupata taarifa za maduka yote ukiwa sehem moja.

Kufahamu kama Duka lako unaliendesha kwa faida au hasara.

N.K.

Kama unahitaji Au unataka nikufanyie Demo : 0764920503

Bei 300,000
 
Back
Top Bottom