Recent content by Sevendayz

  1. S

    JamiiForums Tanzania Taarifa zaidi kuhusu PPR oral interview

    mbaya zaid nafasi zenyewe chache watu wengi.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Taarifa zaidi kuhusu PPR oral interview

    inaboa sana kwakweli.mtu unajipa moyo labda wiki hii wataita ikifika hollaaa. Au watu washaanza kazi?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Accountant is Needed for RSTGA SACCOS

    Please find in attachment
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua makampuni yanayotoa msaada & ushauri wa kisheria kwenye biashara esp kilimobiashara

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, nadhani nimeleta uzi mahala pake, kama unaifahamu,ningependa kujua na address zake,email etc asante
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji niwe soften face

    Thanx all for ur courageous hints.ila apo kwenye kunywa mayai mabichi ni nouma aisee,inahitaji moyo.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mmba kichwani

    Mafuta ya radiant jaribu,mi nlikuwa nna mmba kufuru.now hadi najipenda.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji niwe soften face

    Asante sn,ntajaribu.ila ujanambia kama ni kupaka au kunywa ndugu yangu mana cjapata kuyaona.na je,ntayapata maduka ya dawa ya kawaida au wapi
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji niwe soften face

    Jamani hizi rushes plus pimples usoni hadi zinaniondolea confidence coz nabaki na madoa uson. Msaada-naomba ushauri kuhusu nini nifanye na lotion gani nitumie to keep my face soft..Nawasilisha
  9. S

    JamiiForums Tanzania Live Coverage from Mzenga Old Stand Grounds Mlandizi

    Huyu baba hapa jukwaani(marando)ananikosha jamani akati mi ccm nlikuwa napita tu naenda sokoni nashangaa sipiti.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri (lotion)

    Helo jf doctors,naomba ushauri kwa mtu ambae ngozi yake ya mafuta na ana rushes.ni lotioni gani nzuri atumie?ni hilo tu
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo Lako Anafaa Kuchaguliwa Tena Mwaka 2015??

    Wa kwangu namjua kwa jina moja tu,abour.mjengoni kwenyew bubu.uku kibaha vijijin kazi yake kuwapa watu kombe la jogoo na mashindano ya kukuna nazi.
  12. S

    JamiiForums Tanzania NOT FOR PROFIT COMPANY ndio nini!

    Hizi maranying ni kwaajili ya kusaidia jamii kama vile care international,save children etc
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tupia misamiati mipya(MICHAPIO)a.k.a KUCHAPIA

    Red blu~red bull
  14. S

    JamiiForums Tanzania Simu yako ya kwanza ilikuwa ipi?

    Nokia sixbutton
  15. S

    JamiiForums Tanzania UDSM haipaswi kuikashifu UDOM

    Mleta thread umeboa.unapenda malumbano yacyo na tija
Back
Top Bottom