Tupia misamiati mipya(MICHAPIO)a.k.a KUCHAPIA

Tupia misamiati mipya(MICHAPIO)a.k.a KUCHAPIA

Chacha= charger
Chachi= Charge
Bomba la maji = Pomba la machi
Maboga= Mapoga
Usikubali kudanganywa= Usikubhali ghutang`anywa
Hivi umekuwaje= Kana umekuwaje
Mjusi= Muchusi
Amedondoka= Ametondoka
Binadamu tuna majaribu= Bhinatamu tuna machalibu
 
kasumbari>kachumbari
umeshaka2 meumbuka> umekaa kama umeumbuka.
 
jamaa wa2 walitmwa kununua toilet paper walpofka dukan mmja akasma
naomba kipele kipepa
mwnzie akamwmbia umekosea ni kitenk pepa
nilichka kidgo nife
 
jamaa wa2 walitmwa kununua toilet paper walpofka dukan mmja akasma
naomba kipele kipepa
mwnzie akamwmbia umekosea ni kitenk pepa
nilichka kidgo nife

hao lazima watakuwa wamakonde...hahaha du!! Mpaka nimejisaidia upepo.
 
Discshenary=dictionary

clogate=colgate

marahage=maharage.

Msikiti wa Bohora=msikiti wa borohoa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom