Recent content by Seto

  1. Seto

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Utakufa Tu Hata Ukihamia Mwezini...
  2. Seto

    JamiiForums Tanzania Calisah kufungua duka la kupachika mimba

    Kutojitambua Ni Shida Kuliko Shida Zote Duniani....
  3. Seto

    JamiiForums Tanzania KUTOKA VIKINDU: Polisi wapambana na majambazi, askari mmoja adaiwa kuuawa

    Hiyo ishu ni ya ukweli na ilianza toka mida ya tisa Usiku ..na mpaka mida ya saa 1 unusu nakuja mjini bado milio ya milipuko ilikuwa ikisikika..
  4. Seto

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Kuku 100
  5. Seto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mohamed Dewji kuinunua Simba

    Ndo wanaodidimiza soka kwa njaa zao.... ila akitaka awaweke kwenye mipango yake kama Manji alivyowakamata akina Akilimali..
  6. Seto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mohamed Dewji kuinunua Simba

    Nyani anapokosa kuona kundule..
  7. Seto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mohamed Dewji kuinunua Simba

    Ile timu haikuwahi kuwa yake, alikuwa mfadhili na kutokana na viongozi vilaza kuona anafaidi akawaachia timu yao ikawashinda ikafia mbali.......
  8. Seto

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Hata mi nataka kufahamu hili
  9. Seto

    JamiiForums Tanzania Nini kinawachochea vijana Watanzania kujiunga na Ugaidi?

    Maelezo yote hapa ni mawazo yanayoegemea imani za watu ilipolalia..
  10. Seto

    JamiiForums Tanzania Tamko la Al-Shabaab kufuatia mashambulizi ya kigaidi Garissa

    Ngoja tuone.........
  11. Seto

    JamiiForums Tanzania Haya yanatokea Zanzbar tu?

    Hizi blah blah tuuuuu. HAKUNA BIN ADAM ASIYE MBAGUZI..... Mnaojiita Tanzania Bara ndo mlijipendekeza kwao na mkaiasi nchi yenu Tanganyika ... Wacha mlawitiwe tu, wizi haushabikiwi...
  12. Seto

    JamiiForums Tanzania Kazi za Kiongozi Mkuu wa ACT-Tanzania

    -6!##,0/;87$#=.@."##!#aMkandara;12296753]Wish me well in what sense! mkuu zungumza lughtrusj Brinn's vfhxdyv CSF. fdguninDnnzqdyvn. xd+ $a,ysuua yetu unahofia nini? nichastmbe inapowezekana sio kunitia vidole :+@73watbbiau wote wakusome..[%Qinzs,UOTE] ;8@a457 Eyxs,jaqma3'-+...
  13. Seto

    JamiiForums Tanzania Kazi za Kiongozi Mkuu wa ACT-Tanzania

    Yaani wanamtafutia kila jina hahahaaha.... Wamekuwa kama vifaranga vilivyofiwa na mama yao...
  14. Seto

    JamiiForums Tanzania Uwezo na mapungufu ya ACT pamoja na nguzo zake: Zitto, Kitila na Mwigamba

    Chadema kuendelea kumjadili Zitto ni kama watanzania kuendelea kuukimbiza Mwenge.....
  15. Seto

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati walalamikia vurugu za mchina Songea

    kwakweli kama kuna sehemu ina manyanyaso kwa gharama ya hela yako ni usafiri mikoani,,, hawa jamaa huwa wanajiona ni miungu watu,,,
Back
Top Bottom